Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaha

Kiukweli inaboa timu inapokua haina consistency katika matokeo chanya.

Ila kuacha kushabikia timu ambayo unajiona ni shabiki wake ni ngumu, wengi hua tunajipa likizo. Tukutane msimu ujao
 
Tofauti sana na kina Arteta na lacazeteView attachment 1782345
Hongera mkuu kwa kuhamia City na kuchukua ubingwa.

Binafsi nilitoka United 2005/06 nikahamia hili chama (baada ya FA cup final united vs Arsenal) kipindi hicho junk nipo primary, kiukweli sijawahi shuhudia tukichukua kombe la ligi EPL lakini nina imani.

Kwa wale mlioshuhudia The invincibles najua mnaumia zaidi kuona mwenendo huu wa timu.

In kroenke we trust this summer.
 
Mkuu Maisha Yanabana mihangaiko , huku Bongo Yanga nayo Inazingua ( ila siwezi hama ) kwa wazungu huko bora nipate haueni kidogo unarudi nyumbani unatabasamu kidogo
 
Partey anaweza kucheza namba 8 kama tu utakuwa na attacking mid mzuri , El neny hata mimi nampenda ni mchezaji mzuri lakini anakosa consistency kwenye game ngumu kama liver na City lazima watamuexpose tu.
 
Mkuu Maisha Yanabana mihangaiko , huku Bongo Yanga nayo Inazingua ( ila siwezi hama ) kwa wazungu huko bora nipate haueni kidogo unarudi nyumbani unatabasamu kidogo
Hahahaha! na fans wengi wa Arsenal huku kitaa wanaisupport Yanga, na wadau wanasema Arsenal na Yanga haziwezi kushinda kwa pamoja ( kitu ambacho kweli kinatokea mara nyingi) hapo ndio kazi ilipo sasa.
 
Partey anaweza kucheza namba 8 kama tu utakuwa na attacking mid mzuri , El neny hata mimi nampenda ni mchezaji mzuri lakini anakosa consistency kwenye game ngumu kama liver na City lazima watamuexpose tu.
Kaka namba 8 hata kushut on target hawezi? Kwani AM siyo namba 8?

Namba 8 ana sifa zake ambazo Partey hana, speed, agility, skills, pace, dribble hivi vyote Partey hana.

Badala yake Partey katika mechi isiyo na presha ni sawa na unamshuhudia prime Pirlo yaani unamuangalia ochestrator anayedictate mpira uende wapi, na game iwe na speed gani.

So kama mtu unataka kurisk, ni bora zaidi ukmuacha Pepe awe namba 8 kuliko hata Partey.
 
Arteta anaamini katika miujiza.

Kikosi alichopanga!?

Top scorer wako umemuacha nje.

Aliye kwenye form umemuacha nje.

Mchezaji uliyesema katoka majeruhi umempanga na mechi iliyopita uliyofungwa ukajaribu kumpa lawama.

Mchezaji uliyedai anaumwa, na siku zote yupo benchi humpi namba, namba yake unampa mchezaji ambaye hiyo siyo namba yake.

Halafu sub hadi dakika ya 80 au siyo?
 
Oya wanangu, leo tumewawekea lile pazia sasa mshindwe wenyewe kushinda
 
Partey anaweza kucheza namba 8 kama tu utakuwa na attacking mid mzuri , El neny hata mimi nampenda ni mchezaji mzuri lakini anakosa consistency kwenye game ngumu kama liver na City lazima watamuexpose tu.
Leo ss
 
Huyo unae mwambia hayupo humu JF, acha kulia lia mtoto wa kiume. Alafu acha ujinga ata upange kikosi gani hiyo Aseno8 ya huyo msimamizi wenu wa mazoezi hawezi mfunga TT. We leo jiandae kupokea goli 7
 
kumbe sometimes ushabiki unauweka pembeni
 
Nyie KONDOO nataka nione huyo msimamizi wenu wa mazoezi vile ataweza ku unlock defense ya Chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…