On paper timu ina wachezaji wazuri. Mtihani umekua kuwaunganisha na kuwamerge na mentality ya ushindi.
Kushindwa kuwalisha hii mentality means kocha wetu anahitaji natural fighters ambao ni Guendouz, Elneny, Tierney, Mari, Torreira. Hapo wengine hawapi game time na wengine kawatoa kwa mkopo.
Nilikuwa nacheki goal.com wanajadili mwenendo wa Arsenal na hiki ni kipande kidogo nimechomoa kwenye makala hiyo;
"They have a rookie manager in charge in Arteta, working alongside a rookie chief executive in Vinai Venkatesham and a rookie technical director in Edu. Even academy manager, Per Mertesacker, is in his first job since retiring as a player.
Everyone is learning on the job at Arsenal. So is it any surprise that mistakes are being made?
And there is no-one with any football experience on the board who can question the technical decisions that are being made."
Nikaona pia kina Henry wanalalamikia issue ya board ya Arsenal kuwa na watu wasio na exeprience ya mambo ya football, wameenda mbele zaidi na kudai hata Kroenke mwenyewe sio 'football man' na anaishi thousand of miles away na pia ana vilabu vingine anamiliki vya soka, hockey na basket kwa hiyo kwake hata Arsenal ikipotea sio big deal.
Wanalaumu kuwa hana malengo ya kisoka bali alinunua club kwa fursa aliyoiona kibiashara, tangu ainunue 2006 hajawahi kuweka senti moja yake.
Club imekuwa ikijiendesha kwa mapato inayo generate na kwa hali ilivyo sasa baada ya issue ya covid-19 inasemekana there is no more fund to spend.
Kibaya zaidi wanasema issue sio tu kwamba kuspend, ila ni money is not well spent in Arsenal. Tangu 2013, Arsenal imetumia £431m kiasi ambacho tunazidiwa na Man City, United, PSG na Barca pekee.
Pamoja na matumizi hayo tazama hali ya club, na hiyo ni kutokana na watu wanaofanya maamuzi kutokuwa na experience na hivyo kufanya maamuzi ya hovyo.
As we are talking today, ukiangalia kikosi cha Arsenal kimejaa makinda wanaokuja kupata uzoefu na wazee wanaokuja kustaafu, hatuna senior players tuliodumu nao kutokana na maamuzi ya hovyo yalio kimbiza star players wetu.