Arsenal hata tuwe out if form vipi vibonde vyetu ni united na chelseaKutokana na ugumu wa ratiba yetu, sisi Chelsea siku ya J5 hatutaki mambo mengi kama ntaamua kushinda bc hakikisheni mnashinda kipindi cha kwanza magoli mengi kama sio hvy bc na nyie tunakula kichwa
Muulize man City kilichomtokeaArsenal hata tuwe out if form vipi vibonde vyetu ni united na chelsea
Matokeo ya 8-2 kwamba hapo aliefunga 8 ndie kibonde?Arsenal hata tuwe out if form vipi vibonde vyetu ni united na chelsea
Unaongelea matokeo ya mwaka gani?Matokeo ya 8-2 kwamba hapo aliefunga 8 ndie kibonde?
Mnakufa.Tunaomba uchambuzi wako kuelekea mechi na THE BLUES.
Huyu mchezaji wa timu gani?
Salama.Mkuu Castr salama? Pole na kashkash za kuendesha hili gurudumu.
Sijambo kabisa.Salama.
Natumaini wewe ni mzima.
Leo kuna mechi. Ingawa msimu ushaisha kwa Arsenal
Hahaha wakati ule liva inagarauka matopeni hatukujua wanavyofeel. Now we knowSijambo kabisa.
Yah tuna mechi ila it's so sad kwa club kama Arsenal, come this time of the season kitu pekee imefanya ni kuretain premier league status.
Dah, tulisema hapa kuwa anguko la Arsenal limeanza muda mrefu na haya yanayotokea sasa ni matokeo ya anguko.Hahaha wakati ule liva inagarauka matopeni hatukujua wanavyofeel. Now we know
Kroenke alifanikiwa kutrick watu kipindi cha Wenger, akafanikiwa wakati wa Emery now tusipokaa sawa anafanikiwa kwa mara nyingine kuuaminisha umma kwamba tatizo ni kocha.Dah, tulisema hapa kuwa anguko la Arsenal limeanza muda mrefu na haya yanayotokea sasa ni matokeo ya anguko.
Bado watu wanamtetea Kreonke na kuhamisha lawama kwa Wenger, ikaja Emery na sasa Arteta.
Uko sahihi Arteta ame expose mapungufu yake kama kocha na hata me simlaumu kwa situation ya Arsenal na ukichanganya na kutokuwa na uzoefu, ndio maana tumekosa high profile coach kwa kuwa kufail ni jambo la kufikia tu.Kroenke alifanikiwa kutrick watu kipindi cha Wenger, akafanikiwa wakati wa Emery now tusipokaa sawa anafanikiwa kwa mara nyingine kuuaminisha umma kwamba tatizo ni kocha.
Nisieleweke visivyo hapa. Kocha ana matatizo yake ila mmiliki ana yake ya tangu muda mrefu.
On paper timu ina wachezaji wazuri. Mtihani umekua kuwaunganisha na kuwamerge na mentality ya ushindi.Uko sahihi Arteta ame expose mapungufu yake kama kocha na hata me simlaumu kwa situation ya Arsenal na ukichanganya na kutokuwa na uzoefu, ndio maana tumekosa high profile coach kwa kuwa kufail ni jambo la kufikia tu.
Nilipredict humu kuwa Arteta ndio kocha pekee Arsenal ita afford miezi mitatu kabla hajawa appointed, na msingi wangu ilikuwa ni kuwa mmiliki hana nia ya kufanya overhaul hivyo hamna kocha wa maana atakuja.