Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wa Leicester au West Ham United na wa Arsenal ni wapi wenye gharama au thamani kubwa?
 
Wachezaji wa Leicester au West Ham United na wa Arsenal ni wapi wenye gharama au thamani kubwa?
Kuna factors nyingi za timu kushinda. Most ni morali ya timu, sasa ukiiangalia Leicester na West Ham kwa misimu minne nyuma timu gani ina morali katika hizo timu tatu?

Na hata msimu huu klabu haina mentality ya ushindi na morali hairidhishi.
 
Siri ya ushindi, kocha akiona mchezaji anazegua, piga benchi haraka sio kusubiri dakika ya 67
 

Mkuu sijakuelewa juu ya hawa member wenzetu na ulichoandika. Huko juu unasema we lost our colleagues... kua wameenda wapi? Naomba ufafanuzi
 
Wachezaji wa Leicester au West Ham United na wa Arsenal ni wapi wenye gharama au thamani kubwa?
Huwezi fananisha Arsenal na Leicester au West Ham hazifanani,kwenye kila kitu sababu kiuchumi Arsenal ipo vizuri kuliko hizo timu so hao Leicester / Weat Ham wamesajili kutoka na uwezo wao pamoja na kufanya vizuri,ila hawana mwendelezo hao unaweza ukawaona wapo top 4 ila wakakaa misimu mingine mitano au zaidi usiwaone.

Kwa uchumi alikuwa nao Arsenal hatakiwi kuwa mtu wa kubahatisha kama West Ham au Leicester kama ikitokea basi bahati mbaya kama ilivyo kwa Liver au hata Man Utd .

Sisi tunatakiwa tu-spend kama ilivyo kwa Man City,Chelsea,Utd,Liver na Spurs sababu mapato ya club yetu ni makubwa yana ruhusu huwezi kutufananisha na Leicester au West Ham hatufanani.

Arteta mtampa lawama kwani hata akija mwengine kama tuta endelea na ubahili tutamfuza tu,wakati tatizo lipo kwa wamiliki.

Unataka mambo makubwa halafu hela unayo iweka ni ndogo wakati hela unayo,unategemea bahati kweli kwenye mpira kuna bahati ila % ni ndogo approximately = 0.

Ratiba ya leo ya mashabiki.
 
Xhaka hata sub hayupo.

Kiukweli sina amani na kikosi na formation
 
Villarreal wakiendelea kucheza wanavyocheza inaweza ikasaidia
 
Wenzangu mnaona mbinu? Kufosi? Zaidi ya sideway passes back passes na krosi?

Dakika zaidi ya tano mchezaji wako hatari kabisa hajagusa mpira.

Hiki nini jamani?
 
Lawama anabeba yeye nyingi sana mfano Last week dhidi ya Villareal alianza bila mshambuliaji utamlamu kroenke au Arteta?ok fine kwenye ishu ya red cards utamlaumu Kroenke au Arteta?tangia Wenger aondoke tumemsajili Pepe,Gabriel,Mari,Thomas,Tierney,Leno na wote hao wanachezea timu zao za Taifa sasa tunataka usajili gani?na nlikuuliza hilo swali sababu hao wachezaji nliowataja ni wana viwango bora sana toka huko walipotoka but baada ya kuja Arsenal nini kimefuatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…