Arsenal ilishajifia siku nyingi, timu inawategemea wachezaji wazee wanaochwa bure, makombo ya timu zingine ndio mseme mtaunda timu imara
Msipofanya usajili wa maana msimu ujao mtakuwa mnagombea kubaki EPL
Kwa viwango vya sasa vya timu zote 4 bila kuyumbisha maneno bingwa ni Manchester United wengine tunasindikiza michuano huo ndio ukweli dk ya 80 Arteta kafanya sub 1 what a mother fucking joke Gdnyt guys