Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Castr still defending Arteta, everyone was surprised alivyopanga timu
Timu ina majeruhi.

Nilitarajia Martinell aanze na Cedric aanze. Kilichotokea ndiyo hichi, timu inacheza ila kutengeneza chances na kuscore mtihani.
 
Tarehe 18 niliandika hivi Arsenal akibeba EUROPA league ntakunya Dar nzima na next season Arsenal itashuka vibaya sana nasisitiza ARSENAL HAINA KOCHA ila ina baadhi ya wachezaji wazuri
Arteta kwa sisi tunaoipenda Arsenal tulijua huyu anajifanya Guardiola ila uwezo hana haya sasa Unai anatuaibisha huko na mechi ishaisha hii Arsenal hachomoi
 
Leo utakungutwa mishipa la mkakati mpaka ushangae .

Ngapi huko🤪🤪
Kuna page ya Arsenal fb ilisema leo matokeo ni 2:4 naitafuta siioni.

Sasa nilitaka nimuulize kama ndiyo tusubirie magoli manne ya Arsenal au alikua anatania wakati anaandika.
 
Bro kwanini unye lakini?

Hivi huoni mashabiki wa united wamehama kwao wapo humu? Unadhani kwanini?
 
Timu inacheza bila namba tisa.

Ila Martinell, Nketiah na Auba wapo benchi.
 
Kuna page ya Arsenal fb ilisema leo matokeo ni 2:4 naitafuta siioni.

Sasa nilitaka nimuulize kama ndiyo tusubirie magoli ya nne ya Arsenal au alikua anatania wakati anaandika.

Arsenal hii niliyoiona first half ifunge 4!!!!!!!! Yatakuwa maajabu mengine ya dunia
 
Kuna page ya Arsenal fb ilisema leo matokeo ni 2:4 naitafuta siioni.

Sasa nilitaka nimuulize kama ndiyo tusubirie magoli manne ya Arsenal au alikua anatania wakati anaandika.

Ha ha ha ha haaaaaaa. Subiri si unaona tayari wao wameshapiga 2 bado zenu 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…