Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hata huyu kocha ajiangalie na aji-assess kama anafit hiyo nafasi, kipindi hiki sio kizuri kwake, jumba bovu la Super league litamdondokea anytime.
 
Uwa nawaambia nyie takataka wa Arsenal Leno is rubbish lakini kuna takataka hapa asitaki kuamini
Achana na Leno kwanza, zungumzia timu kupiga pasi 490+ wakati shot on target 2 na dakika ni 82.
 
Tuendelee kukumbushana ndugu zangu
 
Fixture ya Arsenal FC katika hii European Super League kwa mwaka huu 2021 ilikua;

1) Arsenal FC VS Juventus.

2) Arsenal FC VS Real Madrid.

3) Arsenal FC VS Barcelona.

4) Arsenal FC VS Inter Milan.

5) Arsenal FC VS Atletico Madrid.

Arteta skin tight ingempwaya.


Kila week timu zingekua zinamlia mingo Arsenal FC namna hii.


Bahati yenu European Super League imeingiwa na mchanga.
 
Maumivu yamezidi nastaafu kushangilia Arsenal kuanzia leo tarehe 23th April 2021 nasema Nastaafu hichi ni kikundi cha gays kuanzia kocha Kroenke na Arteta (nakumbuka Aaron alimtetea sana Arteta zaidi ya sana je bado ana imani nae)
Zaidi ya miaka 25 Arsenal haijawahi kufungwa michezo 13 narudia haijawahi ila Arteta kaweka rekodi na ya kufungwa 4 home straight league kaweka yeye pia

Najiuliza why tulimfukuza Emery?Emery alituacha nafasi ya 8 but tangu Arteta aje 2020 January hadi sasa Arsenal haijawahi kuwa juu ya hapo why?au ilikuwa ni mihemko?
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…