Game sio ngumu kimsingi Maana najua Unai Emery kichwani ana mambo mengi sasa hivi, moja nikuonesha tulikosea kumfukuza, sasa atawapanikisha vijana wake, na tukituliza Presha kama jana watafungika vizuri tu.
Hii level hatuhitaji Mbwembwe nyingi, ni kushinda mbili bila home then tukienda kwao ni kupaki basi. Mimi naomba turudi UCL kupitia huku may be tutasajili vizuri msimu ujao.