Kwamba King'amuzi cha startimes kina channels za mpira? Naomba ujanjaBackbone ya timu ni viungo, Xhaka nadhani atarudi kwenye nafasi yake. Partey is a good player lakini ana udhaifu wa kukosa concentration, anapoteza pasi. Mchezo wa kesho kitu cha kwanza ni kupata away goal bila kuruhusu wao kugusa nyavu zetu. Tukifungwa nita-ilaani sana timu, Juzi ndio nimeunga Startimes nikijua Europa ndio size yetu this and next year. Tukifungwa itabidi niigawe hiyo Startimes kwa mtu.
Huyu kocha wetu ana shida ya kigugumizi cha sub. Sub ya Auba na Pepe ilichelewa lakini ndiyo iliyoleta goli.INJURY UPDATE
Saka and Smith Rowe are available for selection tomorrow. Arteta kasema kwenye interview leo asubuhi
Tunawachezaji wadogo kiumri ila wazuri sana kama Saka, Martinelli na Rowe, Saka huyu afundishwe kufunga atakuwa balaaHuyu kocha wetu ana shida ya kigugumizi cha sub. Sub ya Auba na Pepe ilichelewa lakini ndiyo iliyoleta goli.
Na ana shida ya kuamini makinda (ingawa hili nashindwa laumu % zote kutokana na tulipo) ilibidi watu waimbeeee ndiyo Emile akapangwa, wameimbaaaa ndiyo Martinell kapangwa.
yes wanaonyesha EUROPAKwamba King'amuzi cha startimes kina channels za mpira? Naomba ujanja
Channel ganiyes wanaonyesha EUROPA
Idea safi.Ningekuwa Arteta ningejaribu mziki wa Martinelli,Odegaard,Saka na Pepe kwenye game moja nione flow yao kwa pamoja inakuwaje
Channel gani
ShukraniST World Football
Idea safi.
Yeye anakaa naye mazoezini na akawa hana imani na Emile mpaka wachambuzi na mashabiki wakiongozwa na Ian Wright walipomshikia bango ampe chansi Emile.kwamba nyie ndo mnaona hiyo idea ita work out kuliko yeye anae kuwa nao kwenye mazoezi...
Yaani hata bench la ufundi halijaiona isipokuwa nyie!..
By the way kuchambua mpirani kazi rahisi sana...unatafuta mcheza unamuangushia jumba bovu, then unasubili ratiba ijayo.
Uchambuzi kabla ya metch huwa ni ubashili tu, ndo maana hata wewe mara nyingi anakuprove wrong...Yeye anakaa naye mazoezini na akawa hana imani na Emile mpaka wachambuzi na mashabiki wakiongozwa na Ian Wright walipomshikia bango ampe chansi Emile.
Yeye anakaa nao mazoezini lakini ni mpaka mashabiki tukiongozwa na Tony Adams kumwambia aachane na 3 4 3 ndiyo tukanusurika. First game tunaachana na 3 4 3 ilikua dhidi ya Chelsea na Chelsea alikufa 3.
Yeye anakaa nao mazoezini lakini mashabiki ndiyo wamepressure Martinell aanze. Na ameanza na goli.
Kuchambua mpira kama ni kuangushia watu majumba mabovu basi kila mtu angechambua, hata wewe, lakini ukiona mtu kaja hapa akaandika kwamba fulani na fulani iwe hivi, formation iwe hivi, sub ifanyweje jua kwamba kaangalia games zaidi ya tano za timu zote mbili.
Kaangalia performance overall ya waliokuepo, aina ya opponent wanaekutana naye, skills za waliokuepo n.k.
Uchambuzi wa baada ya mechi ule ndiyo unaousema wewe ambao naamini na wewe unauweza.
Good luck.
MfanoUchambuzi kabla ya metch huwa ni ubashili tu, ndo maana hata wewe mara nyingi anakuprove wrong...
Arsenal haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji mahiriYeye anakaa naye mazoezini na akawa hana imani na Emile mpaka wachambuzi na mashabiki wakiongozwa na Ian Wright walipomshikia bango ampe chansi Emile.
Yeye anakaa nao mazoezini lakini ni mpaka mashabiki tukiongozwa na Tony Adams kumwambia aachane na 3 4 3 ndiyo tukanusurika. First game tunaachana na 3 4 3 ilikua dhidi ya Chelsea na Chelsea alikufa 3.
Yeye anakaa nao mazoezini lakini mashabiki ndiyo wamepressure Martinell aanze. Na ameanza na goli.
Kuchambua mpira kama ni kuangushia watu majumba mabovu basi kila mtu angechambua, hata wewe, lakini ukiona mtu kaja hapa akaandika kwamba fulani na fulani iwe hivi, formation iwe hivi, sub ifanyweje jua kwamba kaangalia games zaidi ya tano za timu zote mbili.
Kaangalia performance overall ya waliokuepo, aina ya opponent wanaekutana naye, skills za waliokuepo n.k.
Uchambuzi wa baada ya mechi ule ndiyo unaousema wewe ambao naamini na wewe unauweza.
Good luck.
Mimi binafsi naonaga kocha ni mwoga tu maana game tukiingia kuattack huwa tunacheza hasa,ila akisema azuie hapo ndio shida ipo maana utaona mpira wa ajabu mnoArsenal haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji mahiri
Arsenal tunabebwa na wachezaji wachache sana hao ndio wametuweka nafasi ya 9 hadi sasa but kocha hana msimamo mbinu zenyewe za kubahatisha kama anavyosema Castr ni kweli kabisa akipigiwa kelele ndio anashtuka,kuna wachezaji ambao hawastahili kuwa 1st eleven ila utashangaa Arteta yupo nao unabaki kuduwaa ,kiwango cha Arsenal cha sasa yeye ndio chanzo na kesho tukitolewa I am sure Arsenal itapoteza mashabiki wengi sana ,tangu nianze kuipenda Arsenal hatujawah kukosa Michuano ya ulayaMimi binafsi naonaga kocha ni mwoga tu maana game tukiingia kuattack huwa tunacheza hasa,ila akisema azuie hapo ndio shida ipo maana utaona mpira wa ajabu mno
Sawa. Sina usemi hapaArsenal haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji mahiri
Siyo kiwango cha Arsenal cha sasa bali ni nafasi ya Arsenal ya sasa yeye ndiyo chanzo.Arsenal tunabebwa na wachezaji wachache sana hao ndio wametuweka nafasi ya 9 hadi sasa but kocha hana msimamo mbinu zenyewe za kubahatisha kama anavyosema Castr ni kweli kabisa akipigiwa kelele ndio anashtuka,kuna wachezaji ambao hawastahili kuwa 1st eleven ila utashangaa Arteta yupo nao unabaki kuduwaa ,kiwango cha Arsenal cha sasa yeye ndio chanzo na kesho tukitolewa I am sure Arsenal itapoteza mashabiki wengi sana ,tangu nianze kuipenda Arsenal hatujawah kukosa Michuano ya ulaya