First Half tumecheza ushuzi mtupu,Arsenal kuja kuwa team kubwa itachukua 20 years kwa kiwango chetu cha takribani 5 years in row na ningekuwa ni mmoja wa menejimenti ya Arsenal ningependekeza Tierney auzwe licha ni mchezaji mzuri sababu hajawahi kucheza mechi 5 mfululizo za EPL bila kwenda hospital
so far timu haina uhai ila kuna watu wakiendelea kupoteza mipira kama Ceballos,Pepe ila kwenye kujilinda tumejitahidi ila hii match tusipoteze point maana livekuku wamepania hii game