Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Naomba tuwawezeshe wachambuzi kwa bundlewachambuzi wetu mko wapi?
Hiki kipande tu ndio nimekupa like kwacho na wala sio ule utopolo mwengine kwenye post yakoSasa Arteta ana historia gani ndani ya Arsenal mbele ya Viera?
Arteta mpira aliucheza Everton, Arsenal alikuja kuchukua mafao yake ya uzeeni na kustafu soccer.
Hana falsafa yeyote ya Arsenal na hana sifa ya kuitwa legend wa Arsenal.
Ukija kwenye uwezo binafs, Arteta hana uwezo wowote, mala alfu saba Sorkskjaer.
Mkuu upo Tz? Unataka kucheki mpira onlinemwenye link tafadhali wakuu ya mobile au pc coyg yaGunnerya
Mkuu nakusalimu hahahaahahhaXhaka is not good enough kwa level tunayotaka ku-Compete, ndio maana wanamtaka Bissouma acheze nyuma ya Partey, kwangu naona Guendouz apewe second chance, timu imeanza kubalance afu Matteo ni talented ujue ana kitu mguuni
Nini tena???heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tusubiri dakika 90 mkuuArteta ni mzigo kumbe hakuna cha Mda wala nini. Sijui mazoezini wanafanya nini hakuna improvement yeyote kila siku