batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,363
Naona wachezaji wanakosa kujiamini na hawako mchezoni kabisaa. Ni wachache sana wanaojiamini....napenda sana spirit ya Tierney huyu ni mpambanaji haswa na siku moja natamani awe team captain.Wazee mimi labda sijui football lakini nimeshindwa kuelewa kwanini tunakaa nyuma kuzuia timu kama Westham, olimpiacos, na Spurs ambazo hazina tendency nzuri ya umiliki wa mpira mithili ya Man city.
Mfano Game ya leo dk 15 za kuwaruhusu West ham wacheze kuliko sisi zilibadilisha kila kitu,Tumepoteza points nyingi sababu ya uzembe wala sio uwezo.
Pepe huwa ana mechi zake na anasumbuaga kweli kweli, naona jana hajakosea sanaaaIla Pepe ni tatizo wazee, yaani hata kushuti tu hawezi,ni mara mia Wilfred Zaha angesajiliwa, Raul alipiga hela ndefu kwa huyu mtu
Alitakiwa aanze from minute one. Kwa dakika zile kapata shots 2, angeanza tangu mwanzo kati ya alizokosea kuna moja angepata.Ila Pepe ni tatizo wazee, yaani hata kushuti tu hawezi,ni mara mia Wilfred Zaha angesajiliwa, Raul alipiga hela ndefu kwa huyu mtu
Unakuja kwenye majukwaa yenu kuja kutusumbua wakati team yako ni utopolo mtupuIla mi naona hizi jezi ni miyeyusho tena sana. Kwani zile zingine nyeupe na bruised banana tumeziditch?
Sisi ni utopolo?Unakuja kwenye majukwaa yenu kuja kutusumbua wakati team yako ni utopolo mtupu
West brom alinipiga goal 3 bila mpaka dk 54 nikaanza kupata goal la kufutia machozi dk ya 55 goal la pili nikapata dk ya 73 goal la mwisho dk ya 92 full time ikawa 3-3Sisi ni utopolo?
Wewe umewahi kuongozwa goli tatu ukachomoa? Shoga yako united kaongozwa kimoja akaleta shobo za kutaka kupangua akaongezwa marungu mawili katulia. Bado wewe
Kumbe na wewe ni utopolo hizi ni zile enzi za mkifungwa tatu mkishinda tatu na mkisuluhu tatu.West brom alinipiga goal 3 bila mpaka dk 54 nikaanza kupata goal la kufutia machozi dk ya 55 goal la pili nikapata dk ya 73 goal la mwisho dk ya 92 full time ikawa 3-3
Kumbe na wewe ni utopolo hizi ni zile enzi za mkifungwa tatu mkishinda tatu na mkisuluhu tatu.
Bro kinachotumaliza arsenal ni uwezo mdogo wa wchezaji wetu full stop.We have a good team but there are some few issues to address
Pia usisahau Arteta uwezo wake ni ndogo hafai na hastahili kufundisha hata Arsenal ya chini ya miaka 23.Bro kinachotumaliza arsenal ni uwezo mdogo wa wchezaji wetu full stop.
Nani aliwahi kukwambia Arsenal anataka title msimu huu? Kocha mwenyewe kasema hilo ni jambo la misimu 3 mbele hilo siyo lengo kwa sasa.
Kama nyinyi mlivyomleta Ole SendekaPia usisahau Arteta uwezo wake ni ndogo hafai na hastahili kufundisha hata Arsenal ya chini ya miaka 23.
Chezesheni mleteni Patrick Viera.
Sasa Arteta ana historia gani ndani ya Arsenal mbele ya Viera?Kama nyinyi mlivyomleta Ole Sendeka
Ukiongelea historia kama muamuzi wa nani awe kocha Arsenal basi hapo inabidi aje Henry. Henry ana historia nzuri kuzidi hao wawili kwa Arsenal. Hoja yako haina mashiko.Sasa Arteta ana historia gani ndani ya Arsenal mbele ya Viera?
Arteta mpira aliucheza Everton, Arsenal alikuja kuchukua mafao yake ya uzeeni na kustafu soccer.
Hana falsafa yeyote ya Arsenal na hana sifa ya kuitwa legend wa Arsenal.
Ukija kwenye uwezo binafs, Arteta hana uwezo wowote, mala alfu saba Sorkskjaer.
Arteta alikua anajifunza chini ya Pep, kabla hajavunja ungo nyinyi mukamchukua.
Arteta ilimfaa baada ya kuvunja ungo chini ya Pep angeenda Evaton, kule mungempima kwanza kama ana chochote chamaana.
Kule mungemuona ana noga mungemleta hapo.
Hapo wazee wakushika manati ndipo mulipo bugi.
Fanyeni hima mleteni Patrick Viera atawavusha.