Hahaha ni noma. Kwani mara ngapi tumetakiwa kushinda lakini kocha anashindwa iongoza timu? Mara mtu atajifunga, mara red yaani unaona kama vile anakusudia.Dah kiukwel kam ni shabik wa arsenal unawez ulie kabsa. Mnashinda game moja znazofuta tatu kipigo. Oya wanangu wa The Gunners huu msimu tu skip mech zilizobak mpak Next season. Na hii game ya leo tu Quit iwe 3 bilaa
Hawa tulishawakaza kabisa wasije jukwaani kule maana siyo level yetu tena mkuu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wameshachaniwa ndomu tatu tatu tayari"London is Blue"
Chelsea 2-0 Shelfed United
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tatu zishaisha huko unataka zingine tatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Our thread has been invaded by debased whores
Haka katimu siyo cha kuombea mema kabisa wacha wazibuliwe tu.Wameshachaniwa ndomu tatu tatu tayari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kocha ni Mbahatishaji na next season tukienda na Arteta I swear top 10 kwetu itakuwa ni kubeba kombeYaani kwa msimu huu mkweo akitaka akunyime mke ni akuambie tu mahari yako ni Arsenal kushinda games tatu mfululizo mzee itabidi ujue kuchagua sabuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haka katimu siyo cha kuombea mema kabisa wacha wazibuliwe tu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mpigwe tu kima nyie
Mmeshawapasua ngapi? Pakiti ya kwanza ya condom imeisha watoto wanadai nyingine.Game na West ham ni tough kweli,timu za kutumia nguvu zikicheza na Arsenal huwa tunapata tabu sana,Ngoja tuone yanaweza kutokea km ya Leicester city tukawapasua kirahisi tu