Msaidizi (chakula) ya bosiTANGAZO:
kuanzia leo 19/03/2021 Nyie matakataka arse8 hatutaki kuwaona kwenye uzi wetu kule ..nyie siyo level zetu tena...timu zinazocheza UEFA Championship na zilizopo kwanzia nafasi ya sita kwenda juu ndo zinahitajika Kule ili kuleta hoja za maana. Hivyo hamupaswi kukanyaga pande zile tena
Tangazo hili limetolewa na Katibu muhtasi ndugu Ollachuga Oc.
#CFC
BILD - Hertha Berlin hawana tena mpango na Matteo Guendouzi, hawatamtumia tena kwa msimu huu na mazungumzo ya kumuongeza mkataba mpya wa mkopo yamevunjika hii ni kutokana na utovu wa nidhamu aliokua nao Matteo hasa tabia ya kujionyesha na ujuaji. Ataondoka Hertha mwisho wa msimu huu huku akiangalia uwezekano wa kujiunga na timu za EPL.
View attachment 1729693
Nadhani hata kocha ameshaliona hilo na atalifanyia kazi.Mara ya mwisho Slavia Praha kufungwa ni tarehe 10/12/2020 Arsenal mara ya mwisho kufungwa ni jana tarehe 18/03/2021. Walifungwa na Bayer Leverkusen Europa, wiki nyuma Slavia alikua amempiga Leverkusen moja kwa bila.
Slavia amemtoa Leicester kwenye mashindano, Slavia pia ndiye kakomesha hii run ya Rangers kutofungwa kwa mechi zote tangu msimu uanze. Hatuna historia nao ndefu, mwaka 2007 tukiwa Europa hatua ya makundi tulimfunga Slavia 7 kwa bila kisha second leg tukatoka naye suluhu ya bila bila.
Slavia ya 2007 ungemwambia shabiki wake kwamba kuna msimu utafika hawatofungwa na wataitoa Europa timu iliyo ndani ya top four Epl asingekuelewa but here we are. So ingawa inatakiwa ionekane game nyepesi ila hii siyo Arsenal ile hii ni Arsenal ambayo ina presha, haina wapeleka mipira mbele na watengeneza chansi wa kutosha.
So tuna kazi ndefu kiasi chake, gemu zetu mbili za Europa zilizopita zimeonyesha jinsi gani bado Arsenal ina shida kucheza kama kikosi, swala ambalo Slavia hawana tatizo nalo. Tutakutana nao 08/04/2021 hapa kati kati tuna kesi za EPL tunahitaji kubadilika haraka kama tunataka tuongeze chansi yetu ya kuongeza step towards glory.
Ngoja arudi msimu ujao tutamwazima 👨 Yuu akacheze pale.Huyu dogo maisha ya soka yatamshinda akiendelea hivi.
Mara ya mwisho Slavia Praha kufungwa ni tarehe 10/12/2020 Arsenal mara ya mwisho kufungwa ni jana tarehe 18/03/2021. Walifungwa na Bayer Leverkusen Europa, wiki nyuma Slavia alikua amempiga Leverkusen moja kwa bila.
Slavia amemtoa Leicester kwenye mashindano, Slavia pia ndiye kakomesha hii run ya Rangers kutofungwa kwa mechi zote tangu msimu uanze. Hatuna historia nao ndefu, mwaka 2007 tukiwa Europa hatua ya makundi tulimfunga Slavia 7 kwa bila kisha second leg tukatoka naye suluhu ya bila bila.
Slavia ya 2007 ungemwambia shabiki wake kwamba kuna msimu utafika hawatofungwa na wataitoa Europa timu iliyo ndani ya top four Epl asingekuelewa but here we are. So ingawa inatakiwa ionekane game nyepesi ila hii siyo Arsenal ile hii ni Arsenal ambayo ina presha, haina wapeleka mipira mbele na watengeneza chansi wa kutosha.
So tuna kazi ndefu kiasi chake, gemu zetu mbili za Europa zilizopita zimeonyesha jinsi gani bado Arsenal ina shida kucheza kama kikosi, swala ambalo Slavia hawana tatizo nalo. Tutakutana nao 08/04/2021 hapa kati kati tuna kesi za EPL tunahitaji kubadilika haraka kama tunataka tuongeze chansi yetu ya kuongeza step towards glory.
Mnatengenezewa mazingira ila waulizeni JuveWe subiri kunyolewa hacha blablaaaa .
Bonge la gemu westham watapambana kwa nguvu ili washinde kwa kuwa wapo nyumbani ila mwisho wa mchezo watafungwa kwa uzoefu.
Kazeni mchukue uefa acha perepeche“London is white”
Zagreb 3-0 Spurs
“London is red”
Arsenal 0-1 Olympiacos
LONDON IS BLUE
Chelsea 2-0 Atletico
Acha tuiwakilishe London vizuri. Nani asiyeogopa kukutana na The Pride Of London?Kazeni mchukue uefa acha perepeche
Pumzi ya kufika final ipo?KWA RATIBA ILIVYOPANGWS FAINAL ISHAJULIKANA
Arsenal vs United in the final...
Hivi huko praise team we ni sauti ya ngapi? Mara ya mwisho kukutana umekufa tatu ila hapa unauliza kama unaogopwa.Acha tuiwakilishe London vizuri. Nani asiyeogopa kukutana na The Pride Of London?
Ngoja tukutane tena ndio utajua praise team niko sauti ya ngapi.. Kile kipindi cha Lampard kila mtu anajipigia utafananisha na huyu mtu anayejielewa anafanya nini?Hivi huko praise team we ni sauti ya ngapi? Mara ya mwisho kukutana umekufa tatu ila hapa unauliza kama unaogopwa.
Sasa kama unajua ulipigwa tatu hili swali si la kipraise team hili?Ngoja tukutane tena ndio utajua praise team niko sauti ya ngapi.. Kile kipindi cha Lampard kila mtu anajipigia utafananisha na huyu mtu anayejielewa anafanya nini?
Hivi unaamini kabisa hata tukikutana kesho una hata ubavu wa kupata on target hata moja? Nakupa challenge hebu jitahidi utoke mid table hapo ndio tuanze kuongea haya vizuri.
Hivyo ndio umeamua kunitafsiri ila ninachomaanisha pandisha kiwango tuje tuzungmze lugha moja. Maana tunazunguka zunguka tuSasa kama unajua ulipigwa tatu hili swali si la kipraise team hili?
Wewe umeshapandisha?Hivyo ndio umeamua kunitafsiri ila ninachomaanisha pandisha kiwango tuje tuzungmze lugha moja. Maana tunazunguka zunguka tu