Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jitahidini musogee angalau nafasi ya 6 wenda kukashiriki Futuhi mwakani.
Sasa wasogee wapi tena mkuu ..hiyo nafasi ya Europa atachukua liverpool hawa wabaki uko uko hakuna nafasi huku juu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Chelsea jana kambana Atletico.

Katika games zetu zilizobakia niliihofia Chelsea lakini Tony Adams alimuambia Arteta, achana na 3 4 3 ni formation ya muda mfupi. Tuchel alijaribu 4 2 3 1 timu ikawa hoi.

Nadiriki kusema Chelsea anakufa tena. Tatu zingine.
 
Ripoti zinasema Odegaard amewaagiza maagent wake waongee na Madrid ili kutafuta uwezekano wa kubaki Arsenal kwa uhamisho wa kudumu.

Mchezaji yeyote anaenjoy appreciation na game time. Alex Song hakuona hili akakimbilia Barcelona akasahaulika, meanwhile Ceballos alishasema anarudi Madrid kugombea namba.

Tuangalie hii muvi.
 
Me naona ni afadhali ødegaard kulko ceballos
 
Lineups already out, I expect tough game today, najua Olympiakos watashambulia mwanzo mwisho, Scoring before they do, will kill their morale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…