Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umalize na taji gani?
Labda Taji Liundi!
Yani hii timu bwana, eti Willian alipoulizwa umekuja Arse8 kufanya nini ..badala aseme tu ukweli kuchukua pensheni et akadai kuja kuisaidia Arse8 kubeba makombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wewe utawaweza Leeds united? Umeona Mendy kipa bora kabisa kiwahi kutokea alivyotubeba? Leno angeweza? Leo mnakufa ngapi? Mwara ya mwisho kumfunga Mourinho ilikiwa lini? Yani Mou hata akifundisha Yanga, mkikutananayo lazima awachape tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LEEDS amekula bao 4, wewe ulikula 3 kutoka kwa watoto kina saka

mendy amefanya sevu gani jana ya maana, ile moja si alishakubali , Mungu ashukuruliwe ikala nguzo? au mnadhani hatuangaliagi utopolo wenu
 
Ndio maana tunawapigaga kwa kuchongoa huku
Unampoga nani wewe wakati takataka mwenzako anakwambia huu msimu mutabeba europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hata wewe ukiona hiyo comment utaishia kucheka tu.
 
Hahahahaha eti uko busy unataka kubeba Europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kuota wewe hili ndo tatizo la kushiba dona la maharage
utabeba wewe, kila msimu sasa hivi lazima nitoke na kombe , NYIE ng'ombe endeleeni kulialia
 
Unampoga nani wewe wakati takataka mwenzako anakwambia huu msimu mutabeba europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hata wewe ukiona hiyo comment utaishia kucheka tu.
wewe akili zako si nzima, umeshasahau KICHAPO cha bao 3
 
SAKA KAINGIA MKATABA NA NEW BALANCE
1615727624882.png
 
Arsenal are linked with 21-year-old centre-back, Ibrahima Konaté. He plays for RB Leipzig and has a market value of £31.5m.

SHOULD WE BUY HIM?
May be an image of 1 person and text
 
Ornstein says Martinelli isn’t in squad today (last RT). Hasn’t come on in last six league games


Martinelli helped Arsenal out of crisis but has barely played since & not even in squad today. Fit, doing well in training & don’t think being considered for loan as #AFC rate him highly. Just a selection decision. Fingers crossed it improves soon / next season
 
Gabriel Martinelli is not in the squad to face Tottenham today. The player is fit & doing well in training. Arsenal rate him highly but it’s a selection decision. [@David_Ornstein] #afc

 
Unampoga nani wewe wakati takataka mwenzako anakwambia huu msimu mutabeba europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hata wewe ukiona hiyo comment utaishia kucheka tu.
Sasa Europa nani wakutufunga? naungana naye Europa inakuja Emirates, hatulali njaa mzee kama nyie
 
On paper Partey na Odegaard wanatakiwa wawe orchestrators.

Saka amewekwa na Soares ili kumpa options za ama kucut in au kuassisst, a deadly man kwetu ambaye anamhitaji Soares ni Pepe.
 
Arteta anaweka kikosi ile fans wanapenda

Namuona mourinho leo akiteseka, aandae shombo zake tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom