Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Asante Yesu kwa ushindi tulioupata kwa taabu
Ilikuwa lazima game iwe ngumu as spurs walipopigwa la pili walipaniki na walipobaki pungufu wakaamua kudrible na arsenal wakapaki mpira ukaharibika.Asante Yesu kwa ushindi tulioupata kwa taabu
mou mshenzi tuJose ni nyoko, anauliza kuna post match interview kwa marefa? anasema inawezekana marefa nao wanachoka. Kevin Friend alimwambia Michael Oliver aende kuangalia lile tukio kwenye monitor Oliver akakataa, kwa kusema nilikuwa karibu na nimeona kilichotokea. spotkick