Kiukweli tumecheza vizuri jana!.. Tuendelee kumwamini mwalimuLicha ya kupambana but sadly we lost the match. Tumepoteza dhidi ya timu bora ya City.
Bado tunajenga timu, hizi ups and down hazikwepeki.
Believe me, tunakwenda pazuri na kurejesha heshima yetu iliyopotea.
COYG's [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Naona uko kinyonge kijana.#COYG
[emoji2] [emoji2] mimi sioni ushamba wowote hapo boss. bongo ina mambo mengi nahata ukikosa baadhi ya vitu bado hujapitwa.
Ila kwa sasa namfikiria huyu Benfica nitamuadhibu vipi...
Kutokana na Airtel kushusha vifurushi hii game siwezi kuiangalia. Ila nawaambia ukweli Lacazette na Pepe walitakiwa kuanza hii game.Lineups out
1Leno
2Bellerín
23David Luiz
6Gabriel
3Tierney
8Ceballos
34Xhaka
7Saka
11Ødegaard
32Smith Rowe
14Aubameyang
Substitutes
9Lacazette
12Willian
17Cédric Soares
18Partey
19Pépé
21Chambers
22Marí
25Elneny
30Nketiah
33Ryan
35Martinelli
44Hein
Kutokana na Airtel kushusha vifurushi hii game siwezi kuiangalia. Ila nawaambia ukweli Lacazette na Pepe walitakiwa kuanza hii game.
Good luck
Huyu Leicester Maddison anaumwa na ndiye aliwasaidia game iliyopita. Sema Leicester ana homa ya vipindi yaani unatamani kumuamini kwakua anatokea EPL na yupo nyumbani, at least double chance ya 1st half kusema atashinda au itakua suluhu inaleta matumaini.Hili chama hili, kesho tumpige Benfica handicap na nishaibetia kabisa,VP wakuu Leicester anakufa au hafi?
Mwenye link ya ku stream msaada tafadhali