Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Daah kesho home kuna mauaji makubwa nàwaonea huruma Manyumbu na sasa zamu ya Manyumbu kumtema kocha!!!
 
Kesho nikifungwa na Manchester United ntaacha kushabikia mpira!itakuwa ni dharau ya dunia nina uhakika 100% ushindi ni wetu na ushindi wa Manchester United ni sare Full Stop
 
Trend ya tangu 2018 ni kuwafunga united na kusuluhu hatujawapiga nje ndani.

Wana kazi ya kuvunja hiyo circle. Tuna kazi ya kupunguza gape la point. Tulishinda tukiwa shit zaidi ya sasa kwanini ishindikane kipindi hichi?

Ole haoni tatizo kufungwa na sheffield, ana tatizo na kutomfunga Arteta tangu afike. Ole anajua hawezi kuchukua ligi, ndiyo maana ameopt kujijengea heshima kwa kuifunga Arsenal. Kocha serious game na sheffield ilitakiwa awaambie wachezaji wafie arena ila walete point 3.

Aubameyang hayupo means timu itabaki kua vile vile. Na kwakua hakuna uhakika wa uwepo wa Tierney basi kirudiwe kikosi kile kile.
 
tapatalk_1555571747402.jpeg
 
kt amefanya full training
 
All having been said, tuna pengo la mtu wa ku-deputise kwa KT, Cedric anacheza vizuri RB sio LB, ANM anaondoka kwa hiyo, hiyo nafasi lazima ijazwe
 
Dhidi ya Soton workrate ya Soares umeiona ya kawaida?

Mimi natamani Bellerin ale benchi. Aanze Soares na Tierney.
 
Back
Top Bottom