Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
umesema kweli kwasasa tunamiliki sana mpira, tulikosa mtu tu wa kwenda mbele zaidi, rowe hiyo kazi anaiweza,kwasasa viungo wanaopeleka mipira mbele kuna partey, na smith ,Not too fast bro.
Arsenal inamiliki mpira. Au niseme inacheza ikilenga kumiliki mpira. Ikiwa inafanya hivyo akitokea mchezaji mwenye attitude ya kusonga mbele ataonekana assisstor mzuri.
Ndiyo kinachotokea kwa Emile.
Odegaard hizo games tano unazompa naamini atakuacha njia panda ama umuongezee mechi au ukubali kua he is good. Skills zake zinampa uwezo mkubwa wa kuoffer something ndani ya hizo games tano.
Magoli anayotamani kufunga Pepe utamuona huyu atakavyofanya.
wengi hapo kumbuka hawakucheza juzJumanne tunakutana nao kwenye ligi. Unadhani tutarisk watu wote hao?
Baba apange anachopanga kikubwa southampton apasuke. Waliotufunga wote inabidi waonje kipigo. So apange anachoona ni sawa.wengi hapo kumbuka hawakucheza juz
dhid ya newcastle, jana arteta kasema atapanga strong team, mtu kama pepe, willian, belle,chamber, gabriel, martinel, niles, elney aliingia sub,
kwa uchezaji wa smith rowe itakuchukua muda kujua kipaji chake, binafs mimi nilikuwa napingq kupewa nafas, maana nilizoea wachezaji no.10 wenye udambwi udambwi, kumbe bhana...smith ni type ya mchezaji asiye na mambo mengi......mfatilie, akiwa na mpira anaachia ,anafanya movement.....hana mambo ya turnging, sijui visigino.....Nitaomba mnisaidie,up to now I still see Smith Rowe as an over-hyped player, sijakiona hicho mnachokiona kwake, bado sana, labda atumie nafasi hiyo kujipasha sanaaaa.
Tangu mechi dhidi ya Chelsea, West Brom na leo hii dhidi ya Newcastle United .... jinsi anavyotafsiri ufanisi wa " THIRD MAN RUNNING " ananivutia sana, ni ngumu sana kukabiliana na mikimbio ya namna hiyo na katika mechi zote hizo tatu nimeona akifanya mara maraNitaomba mnisaidie,up to now I still see Smith Rowe as an over-hyped player, sijakiona hicho mnachokiona kwake, bado sana, labda atumie nafasi hiyo kujipasha sanaaaa.
ataelewa wapi huyo, Arsenal inajipanga summer kusajiri AM, wa bei nzuri, sasa hii january huwez kununua kwa bei ghari....Aour, buendia , summer watashuka bei, na odegaard akifanya vzr huenda akabaki,We na we unaandika kama umepakwa maziwa mkononi.
Bayern inakopa wachezaji mno. Inachukua treble msimu uliopita zaidi ya wachezaji 4 wa first 11 ni mkopo.
Msimu umeisha, amekopa tena wachezaji zaidi ya 3 wale wa kwanza kawarudisha. Miongoni mwa waliokopwa msimu huu ni Douglas Costa, kwa timu yenu mna mchezaji RW kama Costa?
Kingine kukopa ni namna ya kudeal na financial fair play, kama hauelewi ffp ni nini, tafuta mtu akuelezee.
Mkuu unatuchawia mapemaSoton leo atahalibu hali ya hewa humu ndani.
Southampton
St Mary's Stadium
@EmiratesFACup fourth round
Muda ni SAA 15:15
Kuna cha kututisha kwa jinsi timu inavyocheza?
mchezaji mwenyewe ni mshabiki wa arsenal....Hivi hawa Brighton wamekubali vipi kutuuzia kipa wao no. 1?
Huyo ni wa kawaida tu, Kiufupi hana sumu .kwa uchezaji wa smith rowe itakuchukua muda kujua kipaji chake, binafs mimi nilikuwa napingq kupewa nafas, maana nilizoea wachezaji no.10 wenye udambwi udambwi, kumbe bhana...smith ni type ya mchezaji asiye na mambo mengi......mfatilie, akiwa na mpira anaachia ,anafanya movement.....hana mambo ya turnging, sijui visigino.....
angalia dhidi ya chelsea, alipopewa mpira faster hakufaanya ujinga zaidi alimpa saks, ndio maana kila siku ana percentage kubwa ya pass accuracy
Tangu mechi dhidi ya Chelsea, West Brom na leo hii dhidi ya Newcastle United .... jinsi anavyotafsiri ufanisi wa " THIRD MAN RUNNING " ananivutia sana, ni ngumu sana kukabiliana na mikimbio ya namna hiyo na katika mechi zote hizo tatu nimeona akifanya mara mara
Ona hiyo picha yupo katikati ya Saka na Lacazette. Pasi ya Saka inaenda kwa Lacazette na yeye anakimbia kwenda kwenye Box la Newcastle kupokea pasi kwa Lacazette. Huo mkimbio ndio ' Third Man Running ' . Kaweka gambani halafu kamalizia kwenye kona ya chini kulia kwa Golikipa . Brilliant !!!
View attachment 1684134
subiri zaamu yako tar 30, halafu soon chelsea na liverpool wanakukabidh kijitiSoton leo atahalibu hali ya hewa humu ndani.
Huyo ni shati ndio maana wakaona wale mpunga mapema.Hivi hawa Brighton wamekubali vipi kutuuzia kipa wao no. 1?
Alikua ana ugomvi na kocha.Hivi hawa Brighton wamekubali vipi kutuuzia kipa wao no. 1?