Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hiyo tarehe 30 ni gemu ya pili. Gemu ya kwanza kilikukumba nini?
Nakuibia siri nyingine.
Gemu yenu na liva kwenye fa mnafungwa. Liva kashajijua hana pumzi ya kugombea kombe la ligi ndiyo maana huko FA anaanzisha kikosi chake cha siku zote. Nyinyi kwakua mna matumaini na ligi hamtataka kuchosha wachezaji wenu ili mpambanie vizuri ligi.
Kwa hiyo nimekugarantii vipigo viwili cha Arsenal na cha liva.
Tofauti kivipi wakati kila ninachosema kinakuaUmekua Sheykh Yahya Hussein sasa.
Livakuku tutamfunga kwa kulinda heshima.
Kuhusu game ya kwanza, we mwenyewe umeona, yani tunaweza sema kunguru alinyea manati.
Mkuu sisi ni tofauti na unavyo tuchukulia.
Sorskjaer ana radhi zote za Fagason.
Umeona hicho kipigo walichokipata liva? Si nilikwambia watalitolea macho kombe la FA kwakua ligi washakata tamaa? Sasa kutaneni FA uone kikosi atakachowapangia bwana Klopp.Umekua Sheykh Yahya Hussein sasa.
Livakuku tutamfunga kwa kulinda heshima.
Kuhusu game ya kwanza, we mwenyewe umeona, yani tunaweza sema kunguru alinyea manati.
Mkuu sisi ni tofauti na unavyo tuchukulia.
Sorskjaer ana radhi zote za Fagason.
Kichapo gani wewe? Mimi sijafungwa sita kama wewe...Alikua akikuonea wivu ulivyo kua una chapika, na yeye kaona ajiunge kwenye mstari wa kupokea vichapo.
Pambaneni musishuke daraja



GeniusArteta on Lampard:
"When any of my colleagues are in difficulties I don't smile. If anything I would like to support them and I had a lot of support from a lot of managers in the league when we were going through rough times, even some advice as well and that's how it should be."
Coincidence sio? Basi freshBoth Arsenal and Manchester city have 5 clean sheets from their last 5 games. The last time the allowed the balls to hit their nets was in the last 6th game against cheltako where arsenal won 3-1 and Manchester city won 3-1.
Coincidence?? Arteta and Pep????
Depal
AmazingBoth Arsenal and Manchester city have 5 clean sheets from their last 5 games. The last time the allowed the balls to hit their nets was in the last 6th game against cheltako where arsenal won 3-1 and Manchester city won 3-1.
Coincidence?? Arteta and Pep????
Depal