Huwa nawatofautisha hapo.Watu wanashindwa hata kutofautisha taste za maandishi?
Binafsi namwona Aaron kama reporter, huku wewe ukifanya kazi ya uchambuzi.
Huwa nawatofautisha hapo.
AronArsenal ni kama reporter humu, na Castr anaenda kama mchambuzi.
Tatizo linakuja, id hizi hazijawahi kutana.
Yani siku ukiiona id ya AronArsenal basi jua ya Castr huioni, na ukiiona ya Castr basi ya AronArsenal huioni.
Hapo ndipo nilipo anza kuwa na wasi wasi na hizo id 2.
We jamaa ni miyeyusho sana.Umeligundua hilo mkuu!
Huyu jamaa mungu anamuona.
Tatizo mzee umeanza kua regular kwenye nyuzi za mpira siku za karibuni.Huwa nawatofautisha hapo.
AronArsenal ni kama reporter humu, na Castr anaenda kama mchambuzi.
Tatizo linakuja, id hizi hazijawahi kutana.
Yani siku ukiiona id ya AronArsenal basi jua ya Castr huioni, na ukiiona ya Castr basi ya AronArsenal huioni.
Hapo ndipo nilipo anza kuwa na wasi wasi na hizo id 2.
Tatizo mzee umeanza kua regular kwenye nyuzi za mpira siku za karibuni.
Ungekuepo tangu kipindi cha Emery ungeelewa.
Katika kabila langu, kukosea na kumuita mtu jina lisilo lake ni dharau kwakua unamaanisha hatoshi na hana sifa ya kuitwa jina lake halisi.
Kulazimisha mimi ni mtu mwingine ni dharau hizi unaniletea
Fresh.Poa babu, yaishe.
Mkuu una dharau sana😂😂😂Kwenda top 4?
Kwani mna mategemeo ya top 4 tena!
Shukrani kwa hizi screenshots.Hawa ni watu wawili tofauti kabisa kimtazamo. Ila castr is the best kwenye uchambuzi.
Sioni faida ya yeye kuwa na ID mbili wakati ana uwezo wa kujipambanunua kwenye I'd moja, timu ikiwa inashinda au kufungwa.
Tofauti na Aroon ni muoga kama mbwa koko akifungwa aonekani hapa mwezi mzima.View attachment 1678044View attachment 1678045
Mkuu una dharau sana😂😂😂
Mimi sikuhusika mkuu katika kukubishia😀😀😀😀Na mara ya mwisho nilitofautiana na kila mtu humu baada ya kusema usajili wa Partey ni wa kukurupuka.
Kwani top 4 hatuwezi kuingia?kwa nini?Kwenda top 4?
Kwani mna mategemeo ya top 4 tena!
Kwani top 4 hatuwezi kuingia?kwa nini?
Hamna timu Arsenal ya kupambana top 4.
Hapo unamtoa nani kati ya United, City, Liverpool, Leicester, Chelsea na Tottenham?
Mathematically, Arsenal ana chance ya kuingia top 4 ila technically ni jambo gumu kiasi unless tuwe na consistence ya ushindi na performance for the rest of the season.
Timu haifanyi vizuri siyo kwakua nilibishiwa.Mimi sikuhusika mkuu katika kukubishia😀😀😀😀
Na kama hiyo ndio sababu timu haifanyi vizuri wasamehe tu mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Isiwe kesi
Hivyo vikosi ulivyovitaja viwili vimefungwa na Arsenal isiyo na weight. Katika hivyo viwili kimoja kimeanza kusua sua, kimoja ni miyeyusho ila kwa sasa kipo namba moja.Kama ulivyosema, point yangu pia iko hapo kwenye technically.
Ukiangalia vikosi vya timu nilizotaja vina weight kupita kikosi cha Arsenal, though kila timu sasa hivi ina struggle, bado sioni Arsenal akicheza top 4 msimu huu.
Hivyo vikosi ulivyovitaja viwili vimefungwa na Arsenal isiyo na weight.
Saa mbovu zipo nyingi sana juu ya Arsenal. Vumbi likitulia kila mmoja ataonyesha alichobaki nachoHata saa mbovu kuna muda inasoma majira sahihi.
Ligi ndo kwanza inaelekea katikati, chochote kinaweza kutokea.
Saa mbovu zipo nyingi sana juu ya Arsenal. Vumbi likitulia kila mmoja ataonyesha alichobaki nacho