Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe kikombe cha mbuzi kinakushinda, kombe la ligi ndo utaweza?Ubingwa gani unaouzungumzia?
Sasa hiv tuko kule kwenu tunawajambisha tuJukwaa limepooza kama mate ya mlevi.
Bola muwe muna fungwa kama kawaida yenu, ili tuje tuwajambishe
Thomas Partey is back!
Arsenal imepata matokeo mazuri bila ya Partey siku za hivi karibuni, je hii itamuumiza kichaa Mikel?
Gabriel nae amerudi, nani kumpisha katika safu ya ulinzi?
Kwanza game ya kesho inabidi Gabriel aingie kutoa kutu kwanza.Pablo Mari anatisha sana ila itabidi atusubiri kidogo tuendelee na Gabriel kwanza.
Gabriel aanze na Holding kwa 4-4-2
Sasa hiv tuko kule kwenu tunawajambisha tu
Hawa Arse8 tuweke kiporo, wakishapigwa tutakuja wajambisha..
Tumwachie kocha yeye anajua mchezaji gani aliye katika kiwango kizuri!!!Kwanza game ya kesho inabidi Gabriel aingie kutoa kutu kwanza.
Pia 4 4 2 siyo poa kwa Arsenal. Tutaumbuka, tuendelee na 4 2 3 1.
Kama maono yako ni kumuachia kocha tu nakushauri usiingie kwenye nyuzi za mpira. Humo huo tunakosoa na kupongeza makocha so sitakujibu kitu tena.Tumwachie kocha yeye anajua mchezaji gani aliye katika kiwango kuzuri!!!
Mhhh, hamna lolote.
Kombe la kuku na mchele kilo 5 ndio linichanie msuli wangu?
Njoo kule tarehe 17 kama hajarudi bila meno ya mbele.
Kama nani mkuu anaweza akacheza hapo badala ya Emile? Yaani hii ni changamoto sana!.. Wakati ule unasema usajili wa Aour ni muhimu sana kwenye kuliko wa Partey nilikuwaga nakushangaa sana ila sasa hivi ndio nimejua kuwa weww uliona mbali.. Hiyo position inatutesa sana kwa sasa!.. Kimsingi tungekuwa na play Maker wa kariba ya Aour tungekuwa tunapumlia pale kwenye big four!… Partey ni bonge la mchezaji ilà angalau nafasi yake ina watu wanaoweza kucheza paleKesho tunaanza kampeni ya kutetea kombe la FA. Tumetoka kushinda games tatu mfululizo baada ya Emile kuanzishwa, so imani ya wengi ni uwepo wake ni mchango kwa ushindi wetu.
Kibaya zaidi tunakutana na New Castle ambaye ni mwanaligi mwenzetu so unaona jinsi gani Emile anahitajika hapa. Ila baada ya hii game inafuata game ya ligi na Palace, mashabiki na timu kwa ujumla inahitaji zaidi ushindi kwenye ligi. Hivyo kumchosha au kumrisk Emile haitakiwi.
Lakini kwa userious wote. Tunashinda kwakua Emile ni mzuri kiasi hicho? Mi naona hana uzuri kiasi hicho ila hasiti kusprint na kusogea mbele. Katika games tulizoshinda tulikua na winning probability kubwa kuliko wapinzanji, sababu pekee hatukua tunashinda ni wachezaji kutokua na hamu ya kusogea mbele.
Swala linaloonekana wazi goli la pili dhidi ya West Bromwich.
So Emile apumzike, atahitajika siku ya Palace ila kwa kesho atafutwe mwenye maono na hamu ya kwenda mbele mwingine.
Tukiongelea traits na workrate za AM za anavyotakiwa kua kuna wachezaji mi naamini wanaweza kucheza pale kwenye AM wa kwanza ni Pepe halafu mwingine ni Willian.Kama nani mkuu anaweza akacheza hapo badala ya Emile? Yaani hii ni changamoto sana!.. Wakati ule unasema usajili wa Aour ni muhimu sana kwenye kuliko wa Partey nilikuwaga nakushangaa sana ila sasa hivi ndio nimejua kuwa weww uliona mbali.. Hiyo position inatutesa sana kwa sasa!.. Kimsingi tungekuwa na play Maker wa kariba ya Aour tungekuwa tunapumlia pale kwenye big four!… Partey ni bonge la mchezaji ilà angalau nafasi yake ina watu wanaoweza kucheza pale