Haha kule siku hizi naingia mara moja moja kuona wenye mapenzi na nchi yao wanasemaje...breki ya kwanza ni jukwaa la michezo.Lile jukwaa la siasa ,linatia hasira sana.
Naona West brom walikuwa wanaongoza 3-0 nao mpaka half time sema sasa hivi ngoma imewageukia WBA 3 WESTHAM UTD 3.
Wanavutana mashati kule chini.
Naona West brom walikuwa wanaongoza 3-0 nao mpaka half time sema sasa hivi ngoma imewageukia WBA 3 WESTHAM UTD 3.
Wanavutana mashati kule chini.
is it hennessey is good au arsenal mnakosa sana magoli?
Clean sheet nzuri sana. Hongereni gunners wenzangu.
Bado tunakula nao (MANU) sahani moja...labda Chelsea watawapa kipigo katika marudiano mwezi ujao.
Bado tunakula nao (MANU) sahani moja...labda Chelsea watawapa kipigo katika marudiano mwezi ujao.
Uzuri wake sie hatuhesabiwi kabisa, kwahio tunaenda hivi hivi kimya kimya.
Bado tunakula nao (MANU) sahani moja...labda Chelsea watawapa kipigo katika marudiano mwezi ujao.
Wanatuhesabu kaka....Ndo wa pili kwenye League.....How come watubypass??????? TUMO, TUTAKUWEMO na mwisho wa Msimu Tunaweza NYANYUA KWAPA kaka.....
Najua hawatatuangusha......At the same time such a team work we have just shown today should persist....Sio Man U kapoteza nasi Tunapoteza....Utakua Upuuzi.......Its nice to have 2 goalz and 3 Points from a team that has been all the BIG 4 Except ARSENAL
Mkuu huoni maneno yao ya kejeli kwenye vyombo vya habari?
Mimi sina wasi wasi na napenda sana kuwa treated kama underdog.
Bado tunakula nao (MANU) sahani moja...labda Chelsea watawapa kipigo katika marudiano mwezi ujao.
Huyu Djourou kiboko,Wenger ana haki ya kujivunia.
Goli la Rooney ZURI SANA.....ila hili la RVP ZURI...1-0.....Na mistakes this tym.....
Wolves boss Mick McCarthy after his side were outclassed by Arsenal, who won 2-0 at the Emirates but would have scored many more but for visiting keeper Wayne Hennessey: "There was a murder going on. They have murdered us today - all over the park, from 1 to 11, they were better than us, stronger than us and quicker than us. I have to admire their class and the way they play. We were spanked."
Thanx 4 accepting Micky.....Ni wachache sana ambao huwa hawakosi visingizio wakifungwa......
Ningependelea kwenye mauaji kama haya iwe tunatembeza majambia sio mchezo lakini ndio hivo tena mapanga yetu ya akina Arshavin yanahitaji kuwekwa makali kila leo kwani yanaonekana yako butu.