Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukuta umekua mgumu kutoboa, watoto wanakaba kwa nidhamu sana

Wangekua Chelsea hapa, tungeshawalaza mbili hivi
 
Sam baada ya suluhu aliongea hata muda haujapita watu wanamnyoosha, approach ya kulay low na kuamka second half imebounce

Liverpool hawakumpelekea moto, Leeds moto wao hata azuie vipi lazima wamtoboe.

Mechi ijayo Leeds na Tottenham, sijui itakuwaje kwa Mou.
 
Liverpool hawakumpelekea moto, Leeds moto wao hata azuie vipi lazima wamtoboe.

Mechi ijayo Leeds na Tottenham, sijui itakuwaje kwa Mou.
Beki ya leeds mbovu kwa kaunta na Kane na son wameimudu hiyo ishu siku hizi.

Ila na Tot ugonjwa wa kuruhusu magoli dakika kumi za mwisho bado hawajapona
 
Nimeweka dau na jirani yangu leo Brighton akinifunga nampa Girlfriend wangu
Nikachukue elfu 50 yangu Mamamamaeee Arsenal next vs West Bromwich nkifungwa nauza gari langu Mamamamaeee kwa sasa ni mwendo wa point 3 [emoji38] [emoji1] [emoji23] mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…