Kikosi kilichoanza ni kilichopita isipokua mbele yupo Auba. Brighton Welbeck anaanzia sub na Lamptey hayupo hata benchi, benchini kwao yupo Connolly pia, jamaa anajua kuscore curve balls sana akiingia ni wa kuchungwa sana.
Tulipo ni kama vile timu nzima tunambebesha Emile, siyo mbaya plus na yeye pia anatakiwa kuprove zaidi ya bwana Willock alichokua anatufanyia.
Washkaji wanapiga formationa ile ile so wingmen wao ni wa kuchungwa.