Sasa hii manure ndo yakunitisha mimi? Umempiga mvimba macho saiv mumesahau Ole keshawapeleka europa ..bad na huko mtapigwa tu hakuna namna.
Achana na timu hilo pasua kichwa njo darajani kushinda ni hulka yetu..
#CFC
REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba. Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani mpuuzi aliyenipa...