Ila kwa castr nahisi uvumilivu umeshaanza kumshinda, maana sikuhizi haishiwi visingizio.
Kaja na gea ya safari, kwamba yuko safarini na aliko hakuna network.
Arsenal sijui wapi tunaelekea aisee hata hiyo january ni mchezaji gani wa kiwango kinachoeleweka atakubali kuja kucheza Arsenal pengine wachezaji kama kina Willian wanaokuja kuchukua NSSF zao.