#COYG
IS NOT OVER UNTIL IT'S OVER,
Leo tunarudi uwanjani tena, nasema hivi leo hawataamini
Endelea kujipa moyo tu......Hili chama hili bado kubwa sana tu #coyg
Mzee wa madini huko Malawi hakuna story ya kutusogezea weekendEndelea kujipa moyo tu......
Hivi kweli unalinganisha epl na tanzania???Tumecheza games tatu tukiwa na red.
Games mbili tumepata suluhu moja tumepasuka.
Hii squad haina pumzi wala stamina ya kubaki kumi na kuinflict same damage kwa mpinzani.
Maximo akiwa kocha wa Taifa Stars nimesahau tulikua tunacheza na timu gani ila mchezaji mmoja akapata jeraha akatolewa kisha Maximo hakuingiza sub mpaka dakika zaidi ya 8 zilipoisha.
Baadaye kwenye post interview akaulizwa kwanini ilikua hivyo akajibu alitaka kuona timu itahold vipi wakiwa pungufu uwanjani.
Watu 10 dhidi ya 11 ni fair odds sielewi ni vipi tunashindwa stand our ground. Unaswitch players badala ya mbele kua watatu unaacha wawili au nyuma badala ya kua wanne unawaweka 3. Rahisi mbona? Ila kwakua timu morali inatia huruma ndiyo maana inakua kama tumeonewa.
3 4 3 ya Arsenal inamilikiwaje mpira na 4 4 2 ya Southampton? Only if Arsenal wameamua kutafuta magoli na siyo kupossess. Mentality hii hii tunaenda nayo mbele.
Confirmation from Arsenal that Pierre-Emerick Aubameyang misses tonight's match with a calf injury.
Mapyaaaaaa[emoji3][emoji3]Leo mtatutukana matusi mapya au yaleyale ya kila siku
In case tukiwekwa
Hapo sawaMapyaaaaaa[emoji3][emoji3]
Tunaweka kambi hapa kwa muda wa dakika 90 ..