Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mods piga ban hii raia..

Arsenal ana kikosi kizuri kushinda United?..
Angalia kikosi cha Arsenal mchezaji mmoja mmoja utagundua ni kizuri kuliko timu nyingi tu pale EPL including hiyo Man utd yako
 
"Yaani kuona vitu ambavyo unatarajia kocha aone lakini ndio kama hajui vile"

Tusimtupie lawama mmiliki. I am just saying.

Bro, wewe unajua mpira and I salute you!
 
Subili kesho mnaenda kusukumiziwa ukuni huko nyuma mpaka mshuke daraja

Southampton wanakuja kutembeza mkuyenge humu mpaka mlainike tu
Hamna kusubiri. Sisi wenyewe tunawatamani hao soton tushawachapa wakiwa wamekamilika itakua sasa hivi? Akitoka huyo bado wewe
 
"Yaani kuona vitu ambavyo unatarajia kocha aone lakini ndio kama hajui vile"

Tusimtupie lawama mmiliki. I am just saying.

Bro, wewe unajua mpira and I salute you!
Boss Barca imefumuliwa yote baada ya zile 8.

Wachezaji hatari waliwekwa sokoni mpaka kwa 1M Euro.

Ceo, board na first XI ikafumuliwa wakabaki wachezaji 4 nafikiri.

Time yetu inaweza kufika pia.
 
Boss Barca imefumuliwa yote baada ya zile 8.

Wachezaji hatari waliwekwa sokoni mpaka kwa 1M Euro.

Ceo, board na first XI ikafumuliwa wakabaki wachezaji 4 nafikiri.

Time yetu inaweza kufika pia.
Nadhani inabidi tufikie huko, japo mimi nililiona hili hata nyakati za mzee Wenger. Uwezo wake mkubwa ndio uliifanya Arsenal iwe a top four team, wala sio board au mmiliki. Wenger was a football genius, alitumia limited resources kuifanya Arsenal a top top team. Leo tupo na average coaches ndio tunauona ukweli kuwa timu sio nzuri, japo on paper inaweza kuwa vizuri kuliko timu nyingi tu.
 
Tusubiri tuone dirisha litakapofunguliwa January wengi wa wachezaji Arsenal watapewa mkono wa kwaheri!!!
Maoni Yangu!!!
 
Mimi sioni kama kikosi ni kibaya. Shida morali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…