Mpira wake wa kupaki basi unamponza akijitahidi kushambulia ndiyo unaonna watu wanapenyaHizi thread zinaleta mvuto wa kishabiki, yaani timu yako inacheza halafu unakuwa unawaza tukifungwa itakuwaje kwenye thread.
Tottenham ameshasevu, bado sisi na nyie leo.
Auba me yang ndio anae tufungisha, tangu tumuongezee mshahara kawa kama khadija koppa.Arsenal XI: Leno, Bellerin, Gabriel, Holding, Tierney, Xhaka, Elneny, Saka, Willian, Lacazette, Aubameyang.
Kama nyinyi mlivyomsajili IghaloAuba me yang ndio anae tufungisha, tangu tumuongezee mshahara kawa kama khadija koppa.
Nashauri auzwe tumsajili Demba Ba.
Auba me yang ndio anae tufungisha, tangu tumuongezee mshahara kawa kama khadija koppa.
Nashauri auzwe tumsajili Demba Ba.
Tumeingia na 4 2 3 1 Burnley wameingia na 4 4 1 1 yaani ni kwamba wote tumeingia na lengo la kupashikilia katikati.
Ameaminiwa Elneny na Xhaka kustabilize pale kati Willian na Saka wapokee mipira Laca apige mashuti yake na Auba azengee kwenye final six.
Nimekua nikisema mara nyingi kwamba Auba asitokee kulia hana skills za kumuwezesha kufanya hivyo. Na hiki nakisema hapa muda huu Saka na Willian inabidi wabadilishane namba ili kufanya kwamba hao wanne mbele wote wawe wanaweza kuscore.
Timu inatakiwa iwe tishio left, right and center.
Remainder. Jana Dortmund kapigwa 5 kwa 1 na Bayern kasuluhu.
We una wazimu, demba ba umemuona mchezaji wa kuchezea arsenal?
Nipo Korogwe Manundu nielekezeni sehemu ninayoweza kuangalia mpira
Pumzika tuu mkuu, utapata matokeo hapa JF, au ukiwa na haraka basi live score, maana hao banley ni wabayaaaah!
Usikose kua na tembe ya panado pembeni.
ApiaHii game mnafugwa si chini ya goli 3
Washakupiga ngapi?Pumzika tuu mkuu, utapata matokeo hapa JF, au ukiwa na haraka basi live score, maana hao banley ni wabayaaaah!
Usikose kua na tembe ya panado pembeni.