We chapati kwani Arsenal wakati inafika fainali Europa ilikua imefungwa?Hizo timu walizocheza nazo Europa ni kindergaten, hata wachezaji wa Arsenal wangefungwa pingu wawili wawili na kipa angefunikwa na kitambaa cheusi usoni Arsenal wangeshinda mechi zote.
Chelsea tulishinda mechi zote mpaka kuchukua kombe. Arsenal Europa hii safari yao itaishia robo au nusu fainali
Fainali ni nyumbu vs Tote. Nyumbu akapigwe 7 bila
Mara ya mwisho Arsenal kushinda games tano mfululizo nje ya ligi ni 2003.Sasa Arse8 EPL kila timu inampiga marungu huko Europa kundi lake ameonea dagaa. Hizo timu alizozifunga ukizileta England level yao ni League Two.
Huyu anjitambua,Griezman aungana na Ozil kwenye swala la Uighurs. Kawapiga chini Huawei.
French football star Antoine Griezmann says he is ending his sponsorship deal with Huawei after claims that the Chinese telecoms firm was involved in the surveillance of Muslim Uighurs.
A recent report alleged Huawei had tested facial recognition software that could help police detect Uighurs.
It is believed that the Chinese government has detained up to a million Uighurs in Xinjiang province in what the state defines as "re-education camps". Beijing has consistently denied mistreatment and says the camps are designed to stamp out terrorism and improve employment opportunities.
Griezmann, 29, has been a brand ambassador for Huawei since 2017 and has featured prominently in the company's advertising in France.
"Following strong suspicions that Huawei has contributed to the development of a 'Uighurs alert' through the use of facial recognition software, I am immediately ending my partnership with the company," he said on Instagram.
In a report on Tuesday, US-based surveillance research firm IPVM said Huawei had been involved in testing facial recognition software in China that the authorities could use to detect Uighurs.
Huyu anjitambua,
Mnamtenga ozil bila sababu za msingi
Kwan bila china Arsenal haiwezi kuishi?
Ujinga mtupu
Mzee hembu kunywa kwanza supu maana naona unateseka sana Arsenal kuwapiga bakora hao unaowaita kindergarten, tulia EPL nao dawa yao inachemka soon tutaanza kuwanyoosha non-stop!Hizo timu walizocheza nazo Europa ni kindergaten, hata wachezaji wa Arsenal wangefungwa pingu wawili wawili na kipa angefunikwa na kitambaa cheusi usoni Arsenal wangeshinda mechi zote.
Chelsea tulishinda mechi zote mpaka kuchukua kombe. Arsenal Europa hii safari yao itaishia robo au nusu fainali
Fainali ni nyumbu vs Tote. Nyumbu akapigwe 7 bila
Ilikuwa imefungwa na bate borisov 1-0 first leg.........We chapati kwani Arsenal wakati inafika fainali Europa ilikua imefungwa?
Acha masikhara. Anyway kwahiyo na wewe unakubaliana na theory kwamba fainali ni tottenham na ole?Ilikuwa imefungwa na bate borisov 1-0 first leg.........
Mkuu huyu kijana niliamua kumuacha tu na ubishi wake, sikutaka huu uwe mjadala japo solid evidence za kutetea argument yangu zipo kibao tu kama wewe ulivyofanya hapa zipo kibao tu.Jana Bielsa alitaja kikosi chake kitakachocheza weekend dhidi ya Westham.
Moyes alipohojiwa kuhusu hilo alisema kipindi cha nyuma kidogo huo ulikuwa ni utaratibu.
Cc Lizarazu
Ona hapo chini nimekopi kutoka bbc.com
Posted at 13:3713:37
'Bielsa naming team does not make it easier'
Leeds v West Ham (Fri, 20:00 GMT)
West Ham United:
Back across London to Chadwell Heath and Moyes is asked about Leeds boss Marcelo Bielsa taking the uncommon step of announcing his team in his news conference yesterday.
"Very often the teams were named beforehand in Spain," said Moyes, who managed Real Sociedad in 2014-15.
"We see it in other sports too. It doesn't happen in our sport for different reasons, but overall, does it make it easier? I don't think so because they're a good team.
"We'll keep our team until we're ready to announce it and we'll prepare our players for the game."
Then, Moyes jokes: "It might not be his team! It could be a bluff."
Asante Sana mkuu.Arsenal ni timu pekee kumaliza hatua ya makundi Europa kwa kushinda mechi zote. Hata UEFA hakuna aliyeweza kufanya hivyo.
Hongereni sana.
Sawa shehe yahayaHizo timu walizocheza nazo Europa ni kindergaten, hata wachezaji wa Arsenal wangefungwa pingu wawili wawili na kipa angefunikwa na kitambaa cheusi usoni Arsenal wangeshinda mechi zote.
Chelsea tulishinda mechi zote mpaka kuchukua kombe. Arsenal Europa hii safari yao itaishia robo au nusu fainali
Fainali ni nyumbu vs Tote. Nyumbu akapigwe 7 bila
Hapo fainali naona mwenye nafasi kubwa ni mourinho ...hapo KWA ole czani aiseeAcha masikhara. Anyway kwahiyo na wewe unakubaliana na theory kwamba fainali ni tottenham na ole?
Honeymoon ya mourinho itaisha kama ilivyoisha ya ole. Vumbi likitulia kila mtu atakaa anapostahili
Asante Sana mkuu.
Ila itakuwa ni aibu Sana kama tutaishia hatua ile ya msimu ulioisha na flawless record tuliyonayo.
Morinyo mzee wa makombe. Aliwapa nyumbu mbovu Europa trophy
Mkuu ndo maana nikakwambia KWA uingereza we umeona wapi KOCHA anatangaza kikosi asubuhi wkt game inacheza jioni ...na nikakwambia labda ligi nyingine au za China huko ndo wanaweza kufanya hvyo...sasa swali langu cjui ulikuwa unauliza nn ilhali unajua huo sio utaratibu wa uingereza....! Ngoja niendelee kushupaza shingoMkuu huyu kijana niliamua kumuacha tu na ubishi wake, sikutaka huu uwe mjadala japo solid evidence za kutetea argument yangu zipo kibao tu kama wewe ulivyofanya hapa zipo kibao tu.
Yaani mtu anaona ni kitu Cha ajabu sana kikosi kutangazwa mapema kabla ya mechi na wakati huu utaratibu huwa ni utashi tu wa kocha mwenyewe wala hamna sheria yoyote inayomzuia.
Nakumbuka kwenye World cup ya 2010 aliyekuwa kocha wa Bafanabafana wakati huo Carlos Alberto Pereira alitangaza kikosi kitakachoanza kwenye mechi ya ufunguzi dhidi ya Mexico masaa 24 kabla ya mechi, na pia kabla ya hapo aliwahi kufanya hivyo hivyo kwenye fainali ya 1998 akiwa na Brazil kwa kutomjumuisha Ronaldo kikosini awali na baadae kumrejesha dakika 45 kabla ya mechi kuanza, ndipo watu wakamlaumu kwamba anacheza kamali.
Huyu kijana ni mtu ambaye anaamini alichokiona na kile ambacho hajakiona ana amini Basi hakipo na ndio maana kashupaza shingo hapa kwa kubisha kitu kilichowazi, pengine labda kazoea soka la England pekee ambako ni nadra sana kocha kutangaza starting IX masaa 24 kabla ya mechi, Bielsa ni kocha wa Amerika ya kusini na makocha wa kule huu utaratibu wana ufanya Sana.
Duh kwahyo mkuu Chelsea ushindi wake huu ni wanabahatisha tu sio?Hivi mpaka sasa ni game gani Chelsea ameshinda tunayoweza kuitumia kama kipimo cha ubora wake
Duh kwahyo mkuu Chelsea ushindi wake huu ni wanabahatisha tu sio?
Mkuu ndo maana nikakwambia KWA uingereza we umeona wapi KOCHA anatangaza kikosi asubuhi wkt game inacheza jioni ...na nikakwambia labda ligi nyingine au za China huko ndo wanaweza kufanya hvyo...sasa swali langu cjui ulikuwa unauliza nn ilhali unajua huo sio utaratibu wa uingereza....! Ngoja niendelee kushupaza shingo