Kwenye derby ya leo ya London kuna mchambuzi mmoja katoa homework moja
Kuna timu inajua inafanya nini wakati wana mpira na wakati hawana mpira lakini kuna timu nyingine hawajui wanalolifanya uwanjani wakiwa na mpira ama wakiwa hawana mpira
Hiyo timu nyingine isiyojua inafanya nini ndio ipi?
a) Spurs
b) Arsenal
c) Mbao United
Huyo anatokeaga kipindi timu kubwa zinapo fungwa.
Ngoja siku Manchester United akifungwa, lazima atokeze.
Nina uhakika huko alipo atakua anapanga kubadili ID, aje kivingine
Arteta hana makosa, ni kocha mzuri hata akija Chelsea tutaendelea kukiwasha, Tatizo la Arsenal hamkuachana vizuri na Wenga. Mrudfisheni Wenga kama anaondoaka mumlazimishe aache baraka zake
Arteta hana makosa, ni kocha mzuri hata akija Chelsea tutaendelea kukiwasha, Tatizo la Arsenal hamkuachana vizuri na Wenga. Mrudfisheni Wenga kama anaondoaka mumlazimishe aache baraka zake