Arteta hana maajabu kwa sasa amefeli na uwezo wake umeishia hapo ,ntashangaa sana next week akiwepo emirates na kama atakuwepo mashabiki watamchafua kwa matusi na mabango na kimasihara tutajikuta championship (najua ni ngumu kuona hili ila amini nakwambia ukifungwa namna hii mfululizo kuwa championship ni normal thing)