Xhaka amekua mvivu siku hizi.Players iβm confident are starting tomorrow: β’Bernd Leno β’Hector Bellerin β’David Luiz β’Gabriel β’Kieran Tierney β’Granit Xhaka β’Bukayo Saka β’Willian β’Aubameyang Potential: β’Thomas Partey Or Dani Ceballos? β’Rob Holding or Alex Lacazette? β’Willock?
Ila sisi tumezidi kwa upumbavu hao wanaostruggle kwa sasa wote wanapiga mwendo wa kwenda mbele imagine Mancity yupo top 4 hadi sasa ,wakati sisi hata kesho hatuna uhakika na ushindi msimu ulivyoanza haukuwa mzuri sana kwa many teams but now on tumerudi nyuma kwa hatua laki 1,Manchester United naye katupita kwenye msimamo hadi sasa wakati alikuwa chini kabisa,wachezaji wanapenda picha tu kutuonyesha wanacheka cheka kwenye training thats so stupidZidane aligewa game ya leo dhidi ya Sevilla kama mwamuzi wa abaki au aende. Akapanga kikosi ambacho ndiyo Madrid tunayoijua nadhani Bale angekuepo na yeye angepangwa.
Ameshinda moja bila ila kachezewa mpira hadi aibu. Possession wamezidiwa Sevilla ana 63% mashuti wamezidiwa yaani wako hoi.
Game ya mwisho uefa anacheza na Monchengladbach anatakiwa ashinde ili asonge mbele la sivyo tutakutana naye europa.
Muwe mnaelewa tukisema timu zote zinastruggle kua kwenye form.
Of coz tumezidi.Ila sisi tumezidi kwa upumbavu hao wanaostruggle kwa sasa wote wanapiga mwendo wa kwenda mbele imagine Mancity yupo top 4 hadi sasa ,wakati sisi hata kesho hatuna uhakika na ushindi msimu ulivyoanza haukuwa mzuri sana kwa many teams but now on tumerudi nyuma kwa hatua laki 1,Manchester United naye katupita kwenye msimamo hadi sasa wakati alikuwa chini kabisa,wachezaji wanapenda picha tu kutuonyesha wanacheka cheka kwenye training thats so stupid
Kwa wachezaji aliokuwa nao wenger kwa miaka zaidi ya 10 na hakuwahi kuwa chini ya Top 5,anastahili kuitwa Professor pata picha Arteta ana players wakubwa kabisa ila ni bogus (mechi 3 mfululizo za home tunapoteza tena tunafunga goli 1 pekee that's why namuita bogus na kesho ajue asipopata matokeo atakuwa amejiondoa mwenyewe)Of coz tumezidi.
Hadhi yetu siyo ya kua tulipo.
Ila uwekezaji na sera mbovu vimetufikisha hapo.
Wakati wa Wenger nilisema kikosi chetu kina kila kitu tatizo ni morali. Arteta anajaribu kuirestore
Ceballos na Yaya Sanogo licha wanacheza position tofauti but hawana utofauti wa viwango,ceballos assist ya mwisho sijui aliitoa mwaka gani nimesahauMerson anauliza "how would he not get in that team, ozil??"
Tuliamini eti kuna ceballos
Nimeona ni upumbavu kulipia dstv. Kesho najivuta zangu 6 degree south niangalie game lakini sitotoa pesa yangu kwa sasa nilipie dstv kwa ajili ya arsenalCeballos na Yaya Sanogo licha wanacheza position tofauti but hawana utofauti wa viwango,ceballos assist ya mwisho sijui aliitoa mwaka gani nimesahau
ππππππ mamamanina kesho Arteta asipopata matokeo fans dunia atawatambua hatutamtaka tena tumuone na uzuri analitambua hilo halafu board na kocha walivyo wapumbavu wakubwa licha tunafanya vibaya naona tena kuna kitoto kinatajwa kuwa kipo njiani kusajiliwa inashangaza sana kwa sasa playmaker anayehitajika Arsenal sio wa kujaribu ni anahitajika mzoefu mbobezi muda wa kujaribu vitoto haupo kwa sasaNimeona ni upumbavu kulipia dstv. Kesho najivuta zangu 6 degree south niangalie game lakini sitotoa pesa yangu kwa sasa nilipie dstv kwa ajili ya arsenal
Timu ina tatizo zaidi ya mtengeneza nafasi. January itafika ataletwa kiungo hapo na tutaona kitakachotokea.Yaani sasa hivi timu zitajilaumu sana kukosa point kwetu....
Tatizo letu kubwa timu hatuna mtu wa kutengeneza nafasi. Ndugu yangu Castr hili wala asitupiwe lawama kroenke.