Sasa kwani anaetakiwa ajue hatuna wachezaji wenye viwango ni nani?? Hivi si ni yeye ndio alitakiwa ajue hilo halafu atafute hao wachezaji??? Kwahiyo
Castr Aliweza kujua tatizo letu ambalo yeye alishindwa kulijua??
Hivi kweli tulishindwa Jana kucheza 4-4-2 halafu mbele tumchezesha auba na laca?? Au ilikuwa tu lazima tumchezeshe willock????
Auba tutaanza kumtukana soon ngojeeni tu.