Naondoka kibanda umiza nkaangalie tamthilia ya kifilipino na demu wangu timu dk 45 zote 0 on target na tumejaribiwa mara 14 napoteza muda wangu tu hapa same story tu everyday Willock ndio creative midfielder anaanguka anguka mamamae
ni masaa 7 yamepita tokea arsenal wafunge goli in open play. mara ya mwisho ilikuwa ni mechi ya sheffield united. bado muda upo wa kumuondoa shetani huyu aliyewakalia
Naondoka kibanda umiza nkaangalie tamthilia ya kifilipino na demu wangu timu dk 45 zote 0 on target na tumejaribiwa mara 14 napoteza muda wangu tu hapa same story tu everyday Willock ndio creative midfielder anaanguka anguka mamamae
Asipokuwa makini hii issue itamletea tabu kama ilivyomletea mwenzie Unai tabu.
Hahahahaahaha. Na ajipe moyo tu kwamba ni maamuzi ya board, moto ukiwaka yeye ndio anaondoka.
All three players who started behind aubameyang tonight are out by the 56th minutes. Willian replaced, willock replaced and pepe dismissed. Nothing works!!!!!!
The Gunners wenzangu tusikimbie jukwaa naona wapinzani wamejaa humu ila yote inatokana na mwenendo wa timu yetu mfano leo matokeo hayafahamiki kama tutashinda tutasare au tutafungwa kabisa yaani tupo tupo tu hatusomeki nashindwa kuchambua kabisa game ya leo
Kati ya gem ambazo tutacheza vizuri na kupata matokeo ni pamoja na gem ya leo. Watu kupoa ni kwasababu mechi ya mwisho tulipoteza tena tukiwa tumecheza vibaya ila leo ushindi ni kuanzia 2+