Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
nimekucheki nimekupa namba ya mtu wa karibu, tuwasiliane ,muda mwingi sipo online natumia PC, Simu imepoteaAaron nakuombea pm nahitaji jez kesho
Mbona hapo mbele yenu naiyona sahani ya kashata na bilika yake ya kahawa?Cheltako na manyumbu wakijipanga kama hivi hapo mbele wanaweka chupa za maji
Njoo ghetto unywe kahawaMbona hapo mbele yenu naiyona sahani ya kashata na bilika yake ya kahawa?
Kahawa gani tena hiyo yakunywea ghetto?Njoo ghetto unywe kahawa
nimeiona, halafu Partey, Kolasinac na Elneny will all be out on sunday against Leeds. Big blowCeballos na David Luiz wamepigana kwenye training ground leo naanza kupata shaka na behaviour ya ceballos mara ya pili anapigana
Willian kaenda Dubai bila ya permission ya Arteta let's wait for disciplinary issue
ceba kasema sikwelCeballos na David Luiz wamepigana kwenye training ground leo naanza kupata shaka na behaviour ya ceballos mara ya pili anapigana
Willian kaenda Dubai bila ya permission ya Arteta let's wait for disciplinary issue
Hawezi kusema ni kweli ila kamskilize Arteta between the line utajua kuna kitu kiliendelea hakuna club itakayosema in public kuwa kulikuwa na ugomviceba kasema sikwel