kassim kimoby
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 613
- 490
Kwa mm naona huuu mfumo wa 3-4-3 una2faa 7babu jpo 2nashambuliwa lkin mech nyng tena big mech ume2pa faida hivy nia sahh kwa artet kuu2mia had pale itakp patik nmb10 kule juuGame hizi mbili timu imecheza vizuri sana, tena away akiwa na 4-3-3,timu ilionesha uhai mkubwa katika maeneo yote matatu, ulinzi, kiungo na ushambuliaji
Nakumbuka game ya City mlaka Pep aliingiza mabeki kuja kjlinda kale kagoli,
Game dhidi ya manyumbu kila mtu anajua kilichotokea, ninachojiuliza kwanini Arteta anakomaa na huu mfumo wa 3-4-3 hasa timu ikicheza home? Kwann asikomae na hii 4-3-3 ambayo inaonesha uhai kwetuView attachment 1623926View attachment 1623930
😂😂😂😂😂😂 jukwaa la mabingwa au jukwaa la matakatakaWe takataka wapi unapopata nguvu za kuingia jukwaa la mabingwa na kuandika utopolo ?
FA
na CS
We takataka wapi unapopata nguvu za kuingia jukwaa la mabingwa na kuandika utopolo ?
Game hizi 4 tumecheza 3-4-3 na timu haikucheza vizuri View attachment 1623959View attachment 1623960View attachment 1623961View attachment 1623962
Sijui waliwaza nini kumuuza Martinez.Kwa swala la gorikeep nakuunga mkono ila haowengin hapan
Bigmatch zote tumefanya vizuri tukiwa na 4-3-3Kwa mm naona huuu mfumo wa 3-4-3 una2faa 7babu jpo 2nashambuliwa lkin mech nyng tena big mech ume2pa faida hivy nia sahh kwa artet kuu2mia had pale itakp patik nmb10 kule juu
Kumuuza Martinez na kumuacha Leno ni bonge la mistakeSijui waliwaza nini kumuuza Martinez.
Cheltako na manyumbu wakijipanga kama hivi hapo mbele wanaweka chupa za majiOur men's first team for 2020/21
Ha ha ha ........Cheltako na manyumbu wakijipanga kama hivi hapo mbele wanaweka chupa za maji
Arse8 haya ndo makombe yake ya kujitambiaCheltako na manyumbu wakijipanga kama hivi hapo mbele wanaweka chupa za maji
Kikombe kimoja na kingao ndo unapigia nacho picha.je siku ukichukua UEFA si mtapiga nalo picha mkiwa uchiCheltako na manyumbu wakijipanga kama hivi hapo mbele wanaweka chupa za maji
Weka ya kwako hapo acha mboyoyo mingi dogo
[emoji23] [emoji23] Weka yako hapo usitupigie keleleKikombe kimoja na kingao ndo unapigia nacho picha.je siku ukichukua UEFA si mtapiga nalo picha mkiwa uchi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana ebu hacha mbwembwe zako[emoji23] [emoji23] Weka yako hapo usitupigie kelele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utamuitaje timu ya taifa mchezaji anayegaragara na kutifuatifua chini kama nguruwe pori amechomwa mkuki wa shingo.