Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game hizi mbili timu imecheza vizuri sana, tena away akiwa na 4-3-3,timu ilionesha uhai mkubwa katika maeneo yote matatu, ulinzi, kiungo na ushambuliaji
Nakumbuka game ya City mlaka Pep aliingiza mabeki kuja kjlinda kale kagoli,

Game dhidi ya manyumbu kila mtu anajua kilichotokea, ninachojiuliza kwanini Arteta anakomaa na huu mfumo wa 3-4-3 hasa timu ikicheza home? Kwann asikomae na hii 4-3-3 ambayo inaonesha uhai kwetu
 
Freddie Ljungberg alipochukua mikoba kwa Emery akampa namba Lacazette katika game hiyo ya kwanza. Lacazette akazingua zilizofuata akamuweka benchi.

Katika kitu Freddie alikua serious nacho ni kuipata balance ya timu. Hakutaka kurisk kwa kumuweka mtu ambaye amedhamiria kumess up chances.

Katika hizi games za msimu huu yaani amekua hana spid wala stamina wala kupiga pasi hajui yaani imekua vururu vururu. Baada ya game ya liva Arteta akamuweka benchi sijui akamtrick nini kocha ghafla akarudi lakini akiwa same person

Hua nasema Pepe ana matatizo na kocha hamuanzishi au hampangi kabisa koz wote tunaona kwanini kwa Laca inakua ngumu? Imagine Nketiah anapoteza mpira na anaukimbiza Laca anapoteza mpira anaanza kutembea.

Mi naona imetosha.
 
Na finishing yake mbovu huyu jamaa hatari, yaani naanza kumwelewa Didier Deschamps kwanini hamuiti katika kikosi chake,
 
Pepe anasema anahitaji game time.

Nafikiri anajaribu kumshawishi kocha kwa kuanza kucut in. Katika games mbili mfululizo nimemiona akijaribu kucut in na kuscore.

Ni idea nzuri especially kipindi hichi ambacho timu inahitaji magoli bila kujali yanatokea wapi. Ila bado hajajua ni muda gano wa kukaa na mpira na kuuachia bado hizo komedi anaendelea nazo.

Ila kwakua amedhamiria kutaka game time nafikiri atabadilika.

Tusubiri tuone.
 
Hivi huyu Toni kroos anamtafuta nini Aubameyang?,Mbona captain wake 'huwaga' anashangilia Kama nyani.
 
Kwanini hizi banter nyingi ni za Arsenal?πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20201114-123944_1605376254461.jpg
    29 KB · Views: 7
Kwa swala la gorikeep nakuunga mkono ila haowengin hapan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…