Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,179
Mkuu hata mimi nikiwa na refresh uzi wenu hautokei. Shida ni kwamba ukija uzi wetu unakutana vitu visivyo kufurahisha ndio maana utakuja negative au utachanja mbuga.Uzi wenu hua hauchangiwi mara nyingi so hata nikiwa narefresh pages hua hautokei. Si unajua mna plasitc wengi
Halafu kama hujajua mnapata comments nyingi kwa sababu ya kufungwa fungwa kwenu kwa iyo wadau wengi wanakuja kuwaponda. Kwa mfano kama sasa hivi comments kama zote mtaacha kuwa juu?Uzi wenu hua hauchangiwi mara nyingi so hata nikiwa narefresh pages hua hautokei. Si unajua mna plasitc wengi
Mliweka kambi mule siku hizi hamna cha kuwaleta🤣🤣🤣🤣🤣Uzi wenu hua hauchangiwi mara nyingi so hata nikiwa narefresh pages hua hautokei. Si unajua mna plasitc wengi
Yani tupo kama wote..kama vifo vikiendelea kuwa vingi tutaendelea kuomboleza bila kuchoka..Wenye msiba wamekasirika eti tunakuja kumaliza vyakula vya msibani, next time tutakuwa tunakuja na vyakula vyetu, turubai letu na wakitaka hata nyimbo za maombolezo tutatunga zetu.
Wao waendelee kufa tu, waombolezaji tupo.
Sijaja uzi wenu muda mrefu. Kuna lipi jipya huko?Mkuu hata mimi nikiwa na refresh uzi wenu hautokei. Shida ni kwamba ukija uzi wetu unakutana vitu visivyo kufurahisha ndio maana utakuja negative au utachanja mbuga.
Kwa iyo siku izi haurefresh tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. mapya yanajieleza yenyewe na unajua kabisa otherwise unataka kujitoa ufahamu.Sijaja uzi wenu muda mrefu. Kuna lipi jipya huko?
Nilikua siongopi. Kila nilichoandika kilikua ukweli mtupu.Hahaa.. mapya yanajieleza yenyewe na unajua kabisa otherwise unataka kujitoa ufahamu.
Ulipigia kelele sana usajili wetu sasa ivi umechanja mbuga mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soliwaya?jamani aseno mafwahila (mnaendeleaje?!). Niliwamisi nikaona nije kuwasalim tu. ila napita naenda huko jukwaa la siasa!!..
Kipindi kile plastic hawakuwepo? Ulikua unaongea pointless kwa sababu ulianza kufanya judgement kabla mambo hayajaanza kwenda vizuriNilikua siongopi. Kila nilichoandika kilikua ukweli mtupu.
Again, nashindwa ingia uzi wenu kwakua siukuti katika nyuzi mpya plastic wengi hakuna wanaokoment.
Plastic mpo hata sasa hivi.Kipindi kile plastic hawakuwepo? Ulikua unaongea pointless kwa sababu ulianza kufanya judgement kabla mambo hayajaanza kwenda vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Pointless kwa sababu ulichokuwa unakisema kinaenda tofauti hapo ukijumlisha na ukangafu wa timu yakoPlastic mpo hata sasa hivi.
Yaweza kua nilikua naongea pointless ila ndiyo ukweli wenyewe uliokuwepo.
Ambia plastic wengine mzidi kucomment uzi wenu uje juu.