We mbea ushafika? [emoji23]Shida yao hawa midomo mirefu kila jukwaa lazima utawakuta tena ndio wanaongoza kwa kuponda wanasahau madhaifu ya katimu kao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaahh kumbe na wewe umelistukia eeeehhh hahahaha hh macheltyäko [emoji529]We mbea ushafika? [emoji23]
Huyu jamaa bhn anamponda Lampard kwa fake ID ya LONDON IS BLUE then anamtetea kwa hii ID, daah kweli vituko haviwezi kuisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Polě, ila punguza shoboUnaingilia convo isiyo yako, nitajishangaa kama nitaendelea kumjibu mtu kama wewe ambaye strength yake ni kutukana.
Ninachowapendea mashabiki wa Arsenal hata wakifungwa hawaumii kwasababu mioyo yao imeshakuwa sugu [emoji1787][emoji1787]
Miaka5 tena kwa
Mr Arteta tafadhali.
Aliyeandikiwa barua aje aishabikie arsenal ndio ataumiaNinachowapendea mashabiki wa Arsenal hata wakifungwa hawaumii kwasababu mioyo yao imeshakuwa sugu [emoji1787][emoji1787]
Miaka5 tena kwa
Mr Arteta tafadhali.
Uzi wenu hua hauchangiwi mara nyingi so hata nikiwa narefresh pages hua hautokei. Si unajua mna plasitc wengiKama ambavyo usajili wa Chelsea ulivyokupiga kufuli kutokana na kufanya vizuri sasa ivi [emoji23][emoji23]
Arsenal hii tunaijua hamnaga mbio ndefu nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi wenu hua hauchangiwi mara nyingi so hata nikiwa narefresh pages hua hautokei. Si unajua mna plasitc wengi
Nmekuja msibani [emoji17][emoji17][emoji38][emoji38][emoji38]Ndo uelewe kwamba haya majukwaa ni yetu sote, na kitu kinacho tukutanisha zaidi kama ndugu ni msiba.
Nisipokuja msibani kwako utanilaumu na unaweza kukata hata undugu.
Sema hapa kwenye hii familia misiba minne ndani ya mechi nane ni misiba mingi sana, ndiyo maana wenyewe mnalalamika kwa kuona eti tunakula sana msibani.
Tunawaahidi kwamba misiba ijayo tutakuja na vyakula vyetu.
Nmekuja msibani [emoji17][emoji17][emoji38][emoji38][emoji38]
Huwa wanakuja Sana misibani kwetu wanakuwaga na uchungu kuliko sisi wenye msibaWenye msiba wamekasirika eti tunakuja kumaliza vyakula vya msibani, next time tutakuwa tunakuja na vyakula vyetu, turubai letu na wakitaka hata nyimbo za maombolezo tutatunga zetu.
Wao waendelee kufa tu, waombolezaji tupo.
Huwa wanakuja Sana misibani kwetu wanakuwaga na uchungu kuliko sisi wenye msiba
Ila Hawa hawajuagi kua sisi liva ni wakorofi Sana [emoji16][emoji16][emoji28]
arsenyeto habari gani bwanaAaaaahh kumbe na wewe umelistukia eeeehhh hahahaha hh macheltyäko [emoji529]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepanic sasa. Huyu muanzilishi awe Arsenal au Kitambi noma Fc mimi inanidhuru nini?Sasa wewe ulitakaje kwani? Wewe unafikiri jukwaa unalimiliki wewe? Weka solex basi, na kama hujui aliyeąnzisha kale kauzi kenu ka cheltyako ni shabiki wa Arsenal [emoji16]
Hahaha kwa sababu ya Samatta😂😂😂 me naona bora amesepeshwa maana angesugulia bechi mpka angeota sugu..Not likely hasa draw zinapokuwa involved.
BTW hii point iko kiushabiki zaidi, isituchukulie muda sana kujadili.
Ila jana kwa jinsi Aston Villa nilivyowaona, maombi yangu ya wao kushuka daraja sioni yakifanikiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sijawahi kuwa mnafiki unanichafua.We mbea ushafika? [emoji23]
Huyu jamaa bhn anamponda Lampard kwa fake ID ya LONDON IS BLUE then anamtetea kwa hii ID, daah kweli vituko haviwezi kuisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]