Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizo vijiti venye mmekalia haziwezi kuchomolewa kamwe
 
Timu inapambwa sana wakishinda mechi 1 na full kupost kwenye instagram na fans kuwapamba wachezaji wanaishia kujichekesha mitandaoni wachezaji waachane na ma instagran kama pogba Martinez kaja kupata point 3 kwao ntaanza kuwaangalia kina Viviane kuliko kupoteza usingizi hata game za Sheffield and West ham tulishinda kwa bahati no plan Arteta anajua kucheza na timu zinazomiliki mpira ila akimiliki yeye hashindi au atashinda kwa bahati nasibu ***
 
Katika game za msimu huu tulizofungwa na ikaniuma ni ya liva.

Hatukuonyesha quality kivyovyote. Laca akakosa two big chances. Hii haijaniuma koz hata hizo chances hakuna, ni kumiliki mpira tu na shots za hapa na pale.

Tukicheza na timu zinazopaki basi ndiyo unaona pengo la namba nane kwa uwazi kabisa.

Insane
 
Msimu huu lazima tumalize ligi mid table, Villa wana point 15 na mechi 7 sisi 12 na mechi 8
 
Poleni wana arsenal wenzangu.
Timu yetu imecheza hovyo leo.
Timu tuliyoikoa kushuka daraja leo imetuadhiri kabisa nyumbani.

Let's keep on correcting our mistakes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…