Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

willy jr dully jr njoeni muokoe jahazi lenu linazama huku
wewe uliokua unasubiri arsenal ifungwa ili upate la kuongea nakushauri sasa tafuta kitanda ulale pole sana kwa kuambulia usichokipenda
IMG-20201106-WA0003.jpg
IMG_20201106_005953.jpg
 
Pepe is not playing the way he used to play while at Lille
He not fast creativity has gone done
He looses the ball easily
He is just there
Never consistent
What hurts the most is it that £72
That was way too much.
No other Arsenal player has more G/A than Nicolas Pépé this season.
 
No other Arsenal player has more G/A than Nicolas Pépé this season.
Hongereni fellow Gunners kwa ushindi.

Mara nyingi huwa nashauri fans hasa wa Arsenal wajifunze kuangalia 'game' na sio 'mpira'. Kuangalia 'mpira' ni ile kufatilia mpira unavozunguka kwenye uwanja na kutokujua mambo mengine yote. Watu wa namna hii hufocus kwenye matokeo tu kama ndio mafanikio.

Ukijua kuangalia 'game' lazima utafatilia kuanzia team news, line up, formation na opponent wako pia yukoje na possible ways za kumkabili.

Kwa jinsi Arsenal inavyocheza sasa, hatucreate chances toka kwenye central midfield ndio maana hata Auba naye anastruggle kule upande mwingine sio Pepe tu. Willian pia anapata shida hiyo hiyo.

Unapokuwa unacreate mashambulizi kutokea kwny central midfield unafanya defenders wa team pinzani kuconcetrate na kuwa mark CMs kitu ambacho automatically hutoa space kwa wingers (Pepe in particular) kucheza vizuri huku akiwa na space ya kunyumbulika.

Ukitaka angalau Pepe ashine zaidi ya hapo kwny huu mfumo labda apewe free role ili ajitaftie space ya kufanya yake. Hata hivyo statistically Pepe anafanya vizuri sana, sielewi analaumiwa kwa lipi?!
 
Umesema kweli Kabisa ,hata Willian amesema , Kwa Arteta Anataka Wanaposhambulia na kudefend wawe kwenye Position zao husika walizoambiwa.

No Free Role , Willian akiwa Chelsea alikuwa anacheza Free sana ,

Same to Pepe akiwa Lille ,

Arteta hataki hayo mambo kabisa ......ndio maana Hata Swala la Ozil, hata angesajiriwa ,angekuwa anaachwa sana nje
 
Pepe anafanya Interview muda huu na waandishi wa habari Sky sport
Jana Pepe kajaribu kucut in na kushuti. Lilikua off target ila ilibidi asiishie pale, pia ana papara akiwa kwenye boksi.

Kama atadhamiria kumaliza anao anao na kuongeza lethality mbele ya goli nafikiri jamaa itakua kuscore na kuassisst itakua kwa urahisi na almost kila mechi au baada ya mechi moja.
 
Huu uzi hakuna shabiki wa timu nyingine anayechangia because we are not fvcking up our opportunities.

Ushindi ni namna pekee ya kuwawekea kufuli katika uzi huu.

Walitaka kumjadili Pepe lakini Pepe kascore na kuassist jana na mechi iliyopita aliscore.

Ushindi back to back kuscore back to back.

Now with Aston Villa hilo kufuli linajaribu kuchezeshwa, performance ya Jpili itawapa hamu ya kuja humu au kuendelea kujificha kwenye mashimo yao.

As usual "Stunning Performance"
 
Hahaaaaa ila kweli aisee

Astonvilla jumapili atusamehe tu kwakweli ,

Ila naona Arsenal tumeanza kucheza kwa mtindo wa Ku press na kukata highline ,

Ila Kazi waliyofanya Jana Xhaka na Ceballos , Aisee ni kubwa , Hakika Elneny kawatishia namba zao,

Elneny Alipoingia Hivi alipoteza pass kweli?

Kuna Goli moja kapiga Pre assist ,

Najua Sasa hivi Arteta anawasoma Astonvilla ajue anakuja na Package gani

Wale jamaa wana Viungo wazuri kama msipo wakamata , McGin , Douglas Luiz,Bakley ,Grelish

Hawa Partey anawatosha kabisa
 
Kuna wengine wameshaanza Arteta out
Nashawishika kuwa mbele ya macho ya wengi ukocha wanauchukulia kama aina ya 'mazingaombwe', yaani unaweka makaratasi baada ya 'abra kadabra' yanakuwa fedha muda huo huo.

Sarri pale Juve ana kila aina ya player lakini ubingwa wa Italy tu ulitaka kumshinda na katupiwa virago, PSG ina 'mafundi' wa kutosha ila ndio angalau wameonja fainali ya Uefa msimu jana. Barca mwenyewe na kina Messi wake hata kikombe cha chai hajachukua msimu jana.

Sisi tunamlaumu Arteta ambae out of no where ndani ya miezi nane alikuwa kamfunga Liver, City, Chelsea na kabeba vikombe viwili.

Aliwahi kusema Mourinho kuwa ukocha ni kazi ya ajabu sana, "football managers are hired to be fired".
 
Hahaaaaa ila kweli aisee

Astonvilla jumapili atusamehe tu kwakweli ,

Ila naona Arsenal tumeanza kucheza kwa mtindo wa Ku press na kukata highline ,

Ila Kazi waliyofanya Jana Xhaka na Ceballos , Aisee ni kubwa , Hakika Elneny kawatishia namba zao,

Elneny Alipoingia Hivi alipoteza pass kweli?

Kuna Goli moja kapiga Pre assist ,

Najua Sasa hivi Arteta anawasoma Astonvilla ajue anakuja na Package gani

Wale jamaa wana Viungo wazuri kama msipo wakamata , McGin , Douglas Luiz,Bakley ,Grelish

Hawa Partey anawatosha kabisa
Kile chuma cha nne kimetokana na pressing ya hatari mtu akajikuta kapiga pasi fyongo. Nahisi Xhaka au Sead akaunasa akampa Pepe kilichofuata ni Willock kufuta machungu mawili ya nyuma.

Hawa Aston Villa dawa yao ni Elneny na Partey.
 
Back
Top Bottom