Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Torreira alikuepo enzi kipa huyo jamaa? Cazorla haiwezekani as Ramsey yupo, Welbeck yupo na Mhktaryan yupo

Lazima awe striker mi nahisi ni Giroud
Giroud haiwezekani maana welbeck ndio striker hapo na sikumbuki kama walishawahi kucheza wote first eleven
 
Yaya Sanogo?
huyu angekuwa anachezea Arsenal ya sasa angepigwa chupa za mikojo
 
Kwa mujibu wa wachambuzi wanasema

"Willian anahangaika kuumaster mfumo wa Mikel kumbuka alipokuwa chelsea aliachiwa uhuru wa kucheza popote ili mradi anashambulia ila kwq arsenal kocha anataka kila mchezaji awe kwenye eneo lake timu inaposhambuliwa na inaposhambulia "..

.ndio maana sababu nyingine ya kumwacha ozil ni hiyo,

ozil ili acheze inabid acheze free 10 jambo ambalo liko kinyume na falsafa za Mikel,

Brendan Roger pia alisema Soka la Sasa Ozil ni ngumu kucheza
 
Roy Keane Anasema Partey kammkumbusha Battle yake na Vieira



"I had my battles with Patrick Vieira, I think this kid has got a chance of matching what Vieira used to do. Because he is strong, aggressive & he likes to pass it forward. He looks comfortable on the ball. He has composure, a good first touch... & maintaining possession"
 
Arteta kawakataza wachezaji wasimuite boss ama wamuite Mister au Mikel.

Jana Auba alisikikia akimuita Mikel wachambuzi wakahisi Auba hana nidhamu.
 
Hii Timu ikikufunga Adhabu unayoipata kutoka kwa Washabiki wake bora hata ugongwe na gari utapata afadhali.

Enewey DullyJr wafundishe washabiki wenzako kuandika majina ya Wachezaji wenu kwa usahihi wanayakosea sana.

Girudi ×
Viera ×
Aterta ×
Bellarine ×
Tieney ×

Hayo 👆ni baadhi ya makosa niliyoyaona.

Na pia Muzingatie kuwa #ÖzilLifeMatter
#AdrianLifeDoesn'tMatter 😂
 
Giroud,
Vieira,
Arteta,
Bellerìn,
Tierney,

Over
 
Shaqiri

Minamino

Origi

Hivi hua mnasajili ili iweje
 
Mwandishi: Inaonyesha hamjapoteza pesa zenu bure. Gabriel na Partey wote wanaperform vizuri, unaonaje hilo?

Arteta: Yea Elneny was fantastic.
Nilicheka sana Arteta alivyojibu ,

Arteta ana majibu huyu kama Wenger
 
Mwandishi: Inaonyesha hamjapoteza pesa zenu bure. Gabriel na Partey wote wanaperform vizuri, unaonaje hilo?

Arteta: Yea Elneny was fantastic.
Nilicheka sana Arteta alivyojibu ,

Arteta ana majibu huyu kama Wenger
Ukisikiliza lile jibu ni kama vile hakuelewa swali ila alikuwa 'anamnanga' muandishi.

A lot of work has been done, a lot of transformation has been made tactically and to personal players lakini jamaa anazungumzia watu wawili tu walionunuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…