computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Kwanini???Hii gem kwa nnavyoona kikosi tunashinda
#COYG 🔴⚪
Elneny ni bora kuliko Ceballos ambae hakuwa ngangari dhidi ya Leicester.Midfield yetu bado haipo vizuri katika squad hii creativity ina lack hapa ila football is football let's wait and see and hope we are going to get something
Sioni nani wa kuwalisha mpira wafungaji wetu naona tatizo litabaki pale pale
Arteta kashindwa kabisa hapo kati kupabalance Elneny and Partey (mhhh)
naona dalili za kujutia kipindi cha kwanzaNyie arsenal mnataka mfungaje, many chances mnazifanyia masikhara msije mkazijutia baadae.
Shida iko wapi sijacheki first half??Tumecheza vizuri sana dhidi ya Manchester City Leicester City(matokeo yakawa mabovu) and now Manchester United (tatizo linaendelea) 0 on target hadi half Time!
Tunashinda brother kua na imaniTumecheza vizuri sana dhidi ya Manchester City Leicester City(matokeo yakawa mabovu) and now Manchester United (tatizo linaendelea) 0 on target hadi half Time!
..lakini hatufungiTumecheza poa.