@mysterio
Baada ya sakata la ozil kutokea,Na China kutishia kutoonyesha game zetu ikiwa ozil yupo uwanjani au sub,Arsenal waliamua kufanya 'opportunity cost' kwa 'kum forgone' ozil so as kuilinda brand ya timu,
China ina watu more than 1.5B na rekodi zinasema China na USA ndio good market(buyers) of our Items,ikiwa game ya arsenal 'haionyeshwi' China,Arsenal is likely to lose a lot of money,kwahiyo upo ready tukose revenues kisa kumchezesha ozil?,
Hili swala la ozil limekaa kisiasa sana na kidini na pengine arsenal wanatamani Sana wam 'support' ozil ila wakifikiria kuhusu biashara zao ndo wanapoamua mpaka kumtoa ozil kwenye hizo lists za wachezaji,
,Adidas mwenyewe ameona akae pembeni kwanza na ozil ili ailinde brand yake,
We used a huge a number of centuries to create our brand,never letting someone to destroy it..