Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu haina creative midfield unamuacha Ozil kwa sababu ya ubinafsi na chuki za kijinga unaenda kusajili mchezaji wa Basketball Partery.
 
Haahaaa Mkuu unawaza ubingwa hapo wkt ushafungwa game 3 n bado hujacheza na Leeds united ...!
 
Leicester wamestahili kushinda kwa sababu ya ubora walioutumia.


Hata roma haikujengwa kwa siku moja.

Arteta naweza sema bado sanaa kwenye tasnia ya ukocha ila muda utaamua.
Kukosekana kiungo mshambuliaji asili ndio kuna igharimu timu.

Roma haikujengwa kwa siku moja
 
Mashabiki wa arsenal n wasahaulifu sana Leo mmepigwa mtalaumu laumu lakn mkishnda mech tatu mfululizo na midtable team mnasahau mnajiona mko level moja na barca buyern and the like ila mnasahau ili uwe bingwa n lazma umfunge bingwa pia na hapo ndio huwa n kaz ngumu kwa arsernal

Mnamuacha creative midfielder kama ozil ambaye historia yake na uwezo wake uwanjan unajulikana unamleta partey ambaye sidhan kama anajua nn maana ya ubingwa huko alikotoka BADO MNA KAZI WAKUU

Sitashangaa kusikia mtu akija na analysis isemayo TIMU INAIMPROVE improvement iendane na matokeo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Huyo kocha wenu Arteta amewaaminisha Ceballos is far better than Ozil sasa mtaipata freshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…