jamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
Hauko peke yako tuko weengii,ajabu hii posti nimeiona leo labda coz nilijiunga juzijuzi anyway our Arsenal is nowadays improving. Mwaka huu makombe matatu ni lazima yatue pale Emirates stadium.
Hebu just think the way our players are doing these days,mpira wa touch na kuonana ni jadi ya Arsenal lakini ongeza ufundi wa Samir Nasri,uhodari wa Alex Song,El-Captano Fabregas,Johan na weengi wengine.
Samir Nasri kaumia kaka,bado tunamuombea iwe salama.....tunamuhitaji sana....inshaAllah tutakwaa makombe,kazi ipo kubwa sana mkuu...
now sasa EVERTON WANALIA EMIRATES babaake
Kazi kubwa hii! Mzee na wewe umelamba Zero kwenye shule za kata?
kifimbo cheza umerudi tulikumis sana jamani hahahahahaha najivunia kisw lugha yetu:coffee:
Ndicho ninachokupendea wakati mwingine! Sasa wengine wanataka onekana wasomi kumbe ni kama Rev Masa Kata secondary!
...Haya wazee, In Arsene Wenger we trust.
Dirisha la usajili limefungwa.
Watani wetu wamekurupuka na father Xmas wao£50m zimewatoka, kumbe mchawi
mwenyewe ('santa claus' kwa kupangua benchi la ufundi mara kwa mara)
Ngwe ya lala salama hii,... No need to panic, ...atleast for now!
Together we stand!
jamani mie ni mpenzi wa arsenal hivi kuna haja ya arsenal kumsajili fabregas next season? kwa nini asiondoke tukapata kiungo mlinzi (like viera ) na striker mmoja wa nguvu? for 2day game. gunners 2 everton 0
Arsenal: Szczesny, Sagna, Djourou, Koscielny, Clichy, Song, Wilshere, Walcott, Fabregas, Rosicky, van Persie.
Arshavin ngoma yake kweli ngumu lol,Nasri kaumia nilijua atapata nafasi ya kujituma hili Wenger haweze kumfikiria lakini wapi.Wenger hana mna wakupoteza nae naona kaamua kumpa namba Rosicky.
Kikosi kizuri na tutegemee mpira wa kuvutia kwani Everton nao wanapenda kucheza "open football".
Kila la kheri washabiki wenzangu,point 3 muhimu leo.
Rosicky spanner mkononi....Wala hana ubavu wa mucheza 90 minutes akiwa fresh n fit....so lazima mrusi ataingia sub hasa from 70th min ...