Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ndio maana nimeona nikae kimya ,ila kwa anayejua hii timu Arteta alipoikuta na alipoifikisha ,Inashangaza sana mkuu, yaani watu wanakuwa negative tu, hawaoni hata jitihada za watu, alafu kula matapishi ni dakika 0 tu kudadadek
Ni shidaNdio maana nimeona nikae kimya ,ila kwa anayejua hii timu Arteta alipoikuta na alipoifikisha ,
Na anakoipeleka hakika huwez kubeza, nashangaa kuna watu wanabeza had usajiri wa Partey ,
Nimemsikikiza Arteta Jana , Leno ,ceballos hakika utaona timu ipo kwenye njia salama
Pep mwenyewe Jana dk za mwisho anaweka mabeki wazuie ,
Sasa dully ni wapi nimeikashifu WHU? Ni uongo tulistruggle kushinda? Arsenal ya sasa ikifungwa tatu bila kipindi cha kwanza unaiona ikianza kurudisha hayo magoli? Tena kuanzia 81 Min?Wewe umetoka kuikashifu sasa hivi, alafu muda huohuo unataka tujifunze kutoka kwao!Tuwe na akiba ya maneno
Full time 3-3 mkuu, EPL ni shida sana.West ham ilitusumbua ila ona Tottenham anavyojipigia. Ndani ya dakika 30 vyuma 3.
Watu bado wanasema Partey alikua sahihu over Aouar.
Yea Tottenhm wana Ndombele, Kane na Son kwaajii ya penetration passes na assissts. Leo kaongezeka na Reguillon.Full time 3-3 mkuu, EPL ni shida sana.
Sisi tulishinda Vs WHU 2-1 nyumbani, spurs katoa suluhu 3-3 nyumbani. Sioni kwa nini tubeze timu yetu, nadhani tupo vizuri na direction sio mbaya.Yea Tottenhm wana Ndombele, Kane na Son kwaajii ya penetration passes na assissts. Leo kaongezeka na Reguillon.
Villa waliwekeza kwenye cross na Lanzini hakujifikiria lile screamer.
Arsenal? Ikamchezesha Willian false 9. Ceballos (kuna jamaa anadai huyu ni AM) akapotea uwanjani na hakuonyesha kama ana mpango huo. Crosses hazina macho wa kuchezesha timu hakuna.
Hata game ya kabla na liva tulishind kisha ghafla tukaanza kusachiwa. Nakubaliana na Tony Adams anaposema tunatakiwa kuanza kushambulia.
Wewe umetoka kuikashifu sasa hivi, alafu muda huohuo unataka tujifunze kutoka kwao!Tuwe na akiba ya maneno
Adams ataanza kumnyima usingizi Mikel soon,game ya Liver alilalamika Gabriel kuachwa njeTony Adams kasema mabeki 3 wanakusaidia kwenye Cups. Siyo ideal kwaajili ya title race anaona kwa sasa Arsenal itabidi ianze kuweka mabeki 4.
West Ham ya Moyes wanajua mzee, ni moto mkali ule pia kumbuka Wolves kafa 4 hapoSo unamaanisha kwamba ni sahihi tunavyostruggle? Magoli ya Tottenham yalifungwa easily, kila mmoja aliwajibika walikua wana mtu anawachezesha.
WHU kusuluhisha haiondoi ukweli tulistruggle.
Done mkuuHuu msimu utakuwa telepath same kwa 17/18 Leicester Season! Msimu ambao Arsenal alishindwa kutokana na squad depth.
Relief Mirzska screenshot hii.
Wolves msimu huu kawa nyanya. Hivyo au labda kwavile kaanza na games ngumuWest Ham ya Moyes wanajua mzee, ni moto mkali ule pia kumbuka Wolves kafa 4 hapo
Ulikuwa na maana gani hapa? Kama sio kuiona westham dhaifu, au kichwa changu kigumu?West ham ilitusumbua ila ona Tottenham anavyojipigia. Ndani ya dakika 30 vyuma 3.
Watu bado wanasema Partey alikua sahihu over Aouar.
Mbona wewe umesuluhu na S'ton na hatusemi, tena nyumbani.Arse8 mliliwa kichwa mnatimu mbovu. Takataka nyie..
#CFC
Actually nilimaanisha sisi ndiyo dhaifu.Ulikuwa na maana gani hapa? Kama sio kuiona westham dhaifu, au kichwa changu kigumu?
Kinachowaponza ni yule mdhamini. Demand yake ya idadi ya magoli ndiyo imewafikisha hapo.Arse8 mliliwa kichwa mnatimu mbovu. Takataka nyie..
#CFC πππ
Endelea kuujua.Hujui mpira mkuu. Samahani lakini